Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
Ijulikane apartment ninini?
πππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ijulikane apartment ninini?
Mbona umetoka nje ya mada mkuu! Af kingine sio kila mtu anaweza kujibana hasa kwenye chakula!Yuko sahihi sana japo mnamshambulia na kumkejeli maana hela ile ya boom kwa matumizi ni ndogo sana ila ukijibana ukaitunza nusu kwa semister 2(2Γ2) halafu ukawekeza pazuri na kujumlisha hela TP 600,000/=kwa tuliosoma Bead ni hela kubwa na kwa wale tuliotoka familia maskini na tuliokuwa tunauchukia umaskini ilituokoa.
Mimi nilipewa mkopo 78% kati ya ada 1,000,000/= nilikuwa nalipa 220,000/= na kwa muda ule {2013-2015} tulikuwa tunapata 450,000Γ2 kwa semister na ukiongeza semister ya pili 450,000Γ2 ina maana kwa mwaka wa masomo ni 1,800,000/= hapo tunapewa stationary 200,000/= na TP 600,000/=ambapo tulikuwa tunatafuta shule zinazotoa accomodations
Kwa mwaka mmoja wa masomo nilikuwa nanunua ng`ombe 6 wenye thamani ya 150,000/= kila mmoja na mpaka naingia 2015-2016 ambapo boom lilipanda na kufikia 520,000x4 kwa mwaka wa masomo (2,080,000) tayari nilikuwa na ng'ombe 12 na mwaka wa mwisho nilipamba kutunza hela keshi ambapo nilipata 1,100,000/= ambayo nilipanga nianzie mtaji punde nitakapoingia mtaani
na nipiweza kufanikisha hilo
NILIWEZAJE KUFANYA HIVYO NIKIWA CHUO?
Kwenye miaka yangu yote mitatu niliyokaa chuoni (Udsm) niliishi mabibo hostel ambapo tulikuwa tunashea chumba na wenzangu ambapo gharama ni nafuu lakini pia nilikuwa napiga shuttle pori daily labda itokee dharura ya mvua na kuhusu chakula bajeti yangu ilikuwa ina range 1,800-2,000 ambapo bajeti ya chai niliitoa kabisa maana kwetu sikuwahi kuiona na nilizoea kula mchana tu,hivyo mchana nilikuwa nakula RB mwanzo ilikuwa 600 baadaye ikapanda ikawa 800 na jioni nilikuwa nakula ugali mboga mboga au dagaa ilikuwa 1,000 mtaani (mama kifusi waliokaa mabibo hostel wanamjua).Kwa mfumo kiukweli niliweza kuishi japo ni maisha ya shida chuoni ila huwa nakaa najipiga kifua na kujisemea isingelikuwa CHUO nisingelikuwa naishi maisha haya ya leo.
NILIFANYA NINI BAADA YA CHUO?
Niliingia mtaani bahati nzuri nikaajiriwa kampuni binafsi sep 2016 nikafanya kwa muda wa miezi 6 nikapata uzoefu na nikaona ile kazi naweza kuifanya mwenyewe japo kwa mtaji niliokuwa nao, nilikuwa nilikuwa nalipwa 300,000/= kwa miezi hio linikusanya 700,000/= nikauza wale ng'ombe wangu 10 ambapo nilipata 4,800,000 na nikajumlisha ile akiba ya mwaka wa mwisho japo nilikuwa nimeitumia imebaki 800,000/= ukawa mtaji wangu nikaanza rasmi biashara yangu mwenyewe May 2017.
Kiukweli kwa sasa najiendesha vizuri na sijawahi kupata wazo la kuomba ajira serikalini na kile nachopata kimenipa heshima katika jamii na hata nyumbani kwetu nilishabadilisha maisha ya wazazi kutoka nyumba za nyasi kwenda nyumb za kisasa na siku zote naamini maono ya mtu ndo humfanya aone kidogo kwako ni kikubwa kwake na akakifanya hata kikawa kikubwa machoni pako.
TUSIDHARAU BOOM ILA TUJITHATHMINI MATUMIZI YETU TUWAPO CHUONI
Sijajua kwa wakati wanasoma ilikuwa Tsh ngapi exactly na kama hilo boom ndiyo alili-invest ndiyo likampa hela ya kiwanja au vipi, though kwa Njiro bei za plots zinajulikana zimesimama. Nilichokishika tu kwenye maelezo yake ni kwamba wakati wao wapo busy kuspend mwenzao alikuwa busy kuinvest. Japo inawezekana kuna vitu ali-exaggerate au kwa sababu hakutoa mchanganuo wa jinsi hilo boom lilivyotumika hadi kununua kiwanja na mengineyo baadaye.Kiwanja njiro Tsh ngapi?
Yeye kasema jamaa kajenga apartment wakt ni uwongo,hilo boom linatosha kununua kiwanja kisarawe au chanika huko ndanindani sio kujenga apartments...jamaa ni mrongo halafu anaona ujiko kudanganyaYuko sahihi sana japo mnamshambulia na kumkejeli maana hela ile ya boom kwa matumizi ni ndogo sana ila ukijibana ukaitunza nusu kwa semister 2(2Γ2) halafu ukawekeza pazuri na kujumlisha hela TP 600,000/=kwa tuliosoma Bead ni hela kubwa na kwa wale tuliotoka familia maskini na tuliokuwa tunauchukia umaskini ilituokoa.
Mimi nilipewa mkopo 78% kati ya ada 1,000,000/= nilikuwa nalipa 220,000/= na kwa muda ule {2013-2015} tulikuwa tunapata 450,000Γ2 kwa semister na ukiongeza semister ya pili 450,000Γ2 ina maana kwa mwaka wa masomo ni 1,800,000/= hapo tunapewa stationary 200,000/= na TP 600,000/=ambapo tulikuwa tunatafuta shule zinazotoa accomodations
Kwa mwaka mmoja wa masomo nilikuwa nanunua ng`ombe 6 wenye thamani ya 150,000/= kila mmoja na mpaka naingia 2015-2016 ambapo boom lilipanda na kufikia 520,000x4 kwa mwaka wa masomo (2,080,000) tayari nilikuwa na ng'ombe 12 na mwaka wa mwisho nilipamba kutunza hela keshi ambapo nilipata 1,100,000/= ambayo nilipanga nianzie mtaji punde nitakapoingia mtaani
na nipiweza kufanikisha hilo
NILIWEZAJE KUFANYA HIVYO NIKIWA CHUO?
Kwenye miaka yangu yote mitatu niliyokaa chuoni (Udsm) niliishi mabibo hostel ambapo tulikuwa tunashea chumba na wenzangu ambapo gharama ni nafuu lakini pia nilikuwa napiga shuttle pori daily labda itokee dharura ya mvua na kuhusu chakula bajeti yangu ilikuwa ina range 1,800-2,000 ambapo bajeti ya chai niliitoa kabisa maana kwetu sikuwahi kuiona na nilizoea kula mchana tu,hivyo mchana nilikuwa nakula RB mwanzo ilikuwa 600 baadaye ikapanda ikawa 800 na jioni nilikuwa nakula ugali mboga mboga au dagaa ilikuwa 1,000 mtaani (mama kifusi waliokaa mabibo hostel wanamjua).Kwa mfumo kiukweli niliweza kuishi japo ni maisha ya shida chuoni ila huwa nakaa najipiga kifua na kujisemea isingelikuwa CHUO nisingelikuwa naishi maisha haya ya leo.
NILIFANYA NINI BAADA YA CHUO?
Niliingia mtaani bahati nzuri nikaajiriwa kampuni binafsi sep 2016 nikafanya kwa muda wa miezi 6 nikapata uzoefu na nikaona ile kazi naweza kuifanya mwenyewe japo kwa mtaji niliokuwa nao, nilikuwa nilikuwa nalipwa 300,000/= kwa miezi hio linikusanya 700,000/= nikauza wale ng'ombe wangu 10 ambapo nilipata 4,800,000 na nikajumlisha ile akiba ya mwaka wa mwisho japo nilikuwa nimeitumia imebaki 800,000/= ukawa mtaji wangu nikaanza rasmi biashara yangu mwenyewe May 2017.
Kiukweli kwa sasa najiendesha vizuri na sijawahi kupata wazo la kuomba ajira serikalini na kile nachopata kimenipa heshima katika jamii na hata nyumbani kwetu nilishabadilisha maisha ya wazazi kutoka nyumba za nyasi kwenda nyumb za kisasa na siku zote naamini maono ya mtu ndo humfanya aone kidogo kwako ni kikubwa kwake na akakifanya hata kikawa kikubwa machoni pako.
TUSIDHARAU BOOM ILA TUJITHATHMINI MATUMIZI YETU TUWAPO CHUONI
Au mimi sikumsikiliza vizuri. Maana nilisikia kama huyo rafiki ake alitumia hela ya boom kununua ardhi Njiro. Ardhi ambayo baadaye ndiyo alikuja kujenga hizo apartments hapo. Wakati wao wapo busy na bata; rafiki yao alikuwa anajibana sana, kumbe alikuwa anafanya mambo ya msingi kimyakimya.
Ok!tuseme uliyoyasema ni ukweli,kwa hyo kwa pesa hyo uliyobak nayo unaweza au ungeweza jenga apartment?Yuko sahihi sana japo mnamshambulia na kumkejeli maana hela ile ya boom kwa matumizi ni ndogo sana ila ukijibana ukaitunza nusu kwa semister 2(2Γ2) halafu ukawekeza pazuri na kujumlisha hela TP 600,000/=kwa tuliosoma Bead ni hela kubwa na kwa wale tuliotoka familia maskini na tuliokuwa tunauchukia umaskini ilituokoa.
Mimi nilipewa mkopo 78% kati ya ada 1,000,000/= nilikuwa nalipa 220,000/= na kwa muda ule {2013-2015} tulikuwa tunapata 450,000Γ2 kwa semister na ukiongeza semister ya pili 450,000Γ2 ina maana kwa mwaka wa masomo ni 1,800,000/= hapo tunapewa stationary 200,000/= na TP 600,000/=ambapo tulikuwa tunatafuta shule zinazotoa accomodations
Kwa mwaka mmoja wa masomo nilikuwa nanunua ng`ombe 6 wenye thamani ya 150,000/= kila mmoja na mpaka naingia 2015-2016 ambapo boom lilipanda na kufikia 520,000x4 kwa mwaka wa masomo (2,080,000) tayari nilikuwa na ng'ombe 12 na mwaka wa mwisho nilipamba kutunza hela keshi ambapo nilipata 1,100,000/= ambayo nilipanga nianzie mtaji punde nitakapoingia mtaani
na nipiweza kufanikisha hilo
NILIWEZAJE KUFANYA HIVYO NIKIWA CHUO?
Kwenye miaka yangu yote mitatu niliyokaa chuoni (Udsm) niliishi mabibo hostel ambapo tulikuwa tunashea chumba na wenzangu ambapo gharama ni nafuu lakini pia nilikuwa napiga shuttle pori daily labda itokee dharura ya mvua na kuhusu chakula bajeti yangu ilikuwa ina range 1,800-2,000 ambapo bajeti ya chai niliitoa kabisa maana kwetu sikuwahi kuiona na nilizoea kula mchana tu,hivyo mchana nilikuwa nakula RB mwanzo ilikuwa 600 baadaye ikapanda ikawa 800 na jioni nilikuwa nakula ugali mboga mboga au dagaa ilikuwa 1,000 mtaani (mama kifusi waliokaa mabibo hostel wanamjua).Kwa mfumo kiukweli niliweza kuishi japo ni maisha ya shida chuoni ila huwa nakaa najipiga kifua na kujisemea isingelikuwa CHUO nisingelikuwa naishi maisha haya ya leo.
NILIFANYA NINI BAADA YA CHUO?
Niliingia mtaani bahati nzuri nikaajiriwa kampuni binafsi sep 2016 nikafanya kwa muda wa miezi 6 nikapata uzoefu na nikaona ile kazi naweza kuifanya mwenyewe japo kwa mtaji niliokuwa nao, nilikuwa nilikuwa nalipwa 300,000/= kwa miezi hio linikusanya 700,000/= nikauza wale ng'ombe wangu 10 ambapo nilipata 4,800,000 na nikajumlisha ile akiba ya mwaka wa mwisho japo nilikuwa nimeitumia imebaki 800,000/= ukawa mtaji wangu nikaanza rasmi biashara yangu mwenyewe May 2017.
Kiukweli kwa sasa najiendesha vizuri na sijawahi kupata wazo la kuomba ajira serikalini na kile nachopata kimenipa heshima katika jamii na hata nyumbani kwetu nilishabadilisha maisha ya wazazi kutoka nyumba za nyasi kwenda nyumb za kisasa na siku zote naamini maono ya mtu ndo humfanya aone kidogo kwako ni kikubwa kwake na akakifanya hata kikawa kikubwa machoni pako.
TUSIDHARAU BOOM ILA TUJITHATHMINI MATUMIZI YETU TUWAPO CHUONI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walimkalia kooni wazaz na ndugu lol.[emoji28][emoji28] asa sijui baada ya kufa iyo pesa wataipata vipi. Sijui wanahs Huli uko chuo?
Alikuwa anabugia bata na kununua teevees!Wakati rafiki yake anajenga yeye alikua wapi huyo mpuuzi
[emoji16][emoji16] umeomba ukazie sio..Mmmh...!!! Nyieee kwa Boom gan atoe mchanganuo kwanza na hiy apartment ya alitumia shs ngap kujenga
Maybe kama alikua ana 100% kwao walikua wakishua hapo fresh
Ila Kama boom Hilo Hilo ulipie ada, Kodi, uvae, ule, bad familia inaangalia hapo hapo huwez fanya chochote naomba nikazie huwezi fanya chochote
basi mwemyewe anajiona ni bonge la motivational speaker.View attachment 2180867
Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!
Amesema yeye alipokuwa chuo alikuwa anatumia hela ya boom kula bata na kununua TV lakini kuna rafiki yake wakaribu ambaye yeye alikuwa ana jibana sana baada ya muda alikwenda kuwaonesha Apartments alizojenga kwa hela ya boom!
Angalizo!
Je wanachuo kwanini mlishindwa kujenga aprtments kama rafiki yake Daniel Kijo?
Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini kabisa?
kwani tofali moja Tsh ngapi ?
Boom inajenga kabisa,nimesoma pia chuo wadada na wana wanatumia mi simu ya bei na kununua ma vitu ya ajabu ajabu tu kwa boom
so inawezekana kabisa kwa baadhi ya watu kujenga kwa pesa ya boom hasa wale wanaotoka familia za kipato cha kati.unakuta hategemei hilo boom kuishi
Kadanganye watoto wenzio!Yuko sahihi sana japo mnamshambulia na kumkejeli maana hela ile ya boom kwa matumizi ni ndogo sana ila ukijibana ukaitunza nusu kwa semister 2(2Γ2) halafu ukawekeza pazuri na kujumlisha hela TP 600,000/=kwa tuliosoma Bead ni hela kubwa na kwa wale tuliotoka familia maskini na tuliokuwa tunauchukia umaskini ilituokoa.