Daniel Kijo: Nilikuwa nina rafiki yangu chuo alijenga Apartments kwa Boom la chuo!

Daniel Kijo: Nilikuwa nina rafiki yangu chuo alijenga Apartments kwa Boom la chuo!

Ukishakuwa na Boom. Wazazi wengi wanaona wamemaliza. Kwanza hiyo hela ndo inakuwa inatolewa macho na kila mtu.

Mimi PC tu ilinishinda kunnulia na hela ya boom sembuse Apartment! Yaani PC nzuri inaanza atleast 500k huko alafu Boom ni hiyo hiyo 500k. Unannuaje sasa.

At the end maisha hayana formula. Unaweza kujibana hivyo baadae ukawa kama Kabudi tu af wale wahuni waliokuwa wanakula bata chuo na hela ya boom wakakuzidi.

Anyway, ngoja niweke akiba ya maneno!
 
Back
Top Bottom