Daniel Kijo: Nilikuwa nina rafiki yangu chuo alijenga Apartments kwa Boom la chuo!

Daniel Kijo: Nilikuwa nina rafiki yangu chuo alijenga Apartments kwa Boom la chuo!

Japo hii ni chai ila ngoja niulize
Asa huyo aliyejenga appartments atahadithia nini wajukuu wake?
Hao ndo wanaokuja kusumbua uzeeni kwao kwa kuruka stage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ili nyumba ya chumba kimoja,choo,jiko na sebule iishe inakubidi angalau milioni tisa iwe peupe. Huyo mwanachuo hilo bumu lilizidi milioni tisa kwa mwaka hadi akaweza kuendeshea maisha ya chuo na kujenga? Kiwanja alitumia bumu kununulia?
Tunasomesha na tunajenga kwa wakati huo huo,tuache stori za kukatisha tamaa vijana wetu wajione hawakuutendea kazi ya maana mkopo.
Sh. 7,500 kwa siku kwa miaka 3/4 ale na kujenga apatimenti?!!!
Ndo hawa wanafanya baadhi ya wazazi kuanza kuwatupa wanao wa chuo kisa wana mikopo na boom.
 
View attachment 2180867

Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!

Amesema yeye alipokuwa chuo alikuwa anatumia hela ya boom kula bata na kununua TV lakini kuna rafiki yake wakaribu ambaye yeye alikuwa ana jibana sana baada ya muda alikwenda kuwaonesha Apartments alizojenga kwa hela ya boom!

Angalizo!

Je wanachuo kwanini mlishindwa kujenga aprtments kama rafiki yake Daniel Kijo?

Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini kabisa?
Danielo Miaka Ile anasoma UDSM boom lilikuwa 2500 hebu atueleze huyo rafiki yake alijengaje apartments?

Vijana wawe wakweli kama alikuwa anaboostiwa na wazazi au anabishara haramu aeleze waache kudanganya
 
Maswali ni mengi kuliko majibu .. otherwise utuambie alikuwa anafanya biashara zingine..

boom linajulikana..hata usave zote miaka yote 3 bado huwezi kujenga appartments na bado boom ilo ilo ule ufanye mahitaji yako muhimu ya chuo ( kula, stationary,transport,rent etc ).
 
mie nimejenga ghorofa kwa boom na nishasahau kutembea na bahasha ya kaki kutafuta ajira,vijana tumieni hela vyema
 
View attachment 2180867

Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!

Amesema yeye alipokuwa chuo alikuwa anatumia hela ya boom kula bata na kununua TV lakini kuna rafiki yake wakaribu ambaye yeye alikuwa ana jibana sana baada ya muda alikwenda kuwaonesha Apartments alizojenga kwa hela ya boom!

Angalizo!

Je wanachuo kwanini mlishindwa kujenga aprtments kama rafiki yake Daniel Kijo?

Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini kabisa?
Duuuu kudadadeki..... khaaaaaaa bonge la kamba.
 
Bado hatujasahau ya kununua gari iliwezekana vp huyu kaja na ya kujenga apartment au alikuwa analipwa kwa usd itakuwa.
 
kwani tofali moja Tsh ngapi ? Boom inajenga kabisa,nimesoma pia chuo wadada na wana wanatumia mi simu ya bei na kununua ma vitu ya ajabu ajabu tu kwa boom
so inawezekana kabisa kwa baadhi ya watu kujenga kwa pesa ya boom hasa wale wanaotoka familia za kipato cha kati.unakuta hategemei hilo boom kuishi
Mimi nimesoma chuo kipindi hakuna simu wala computer, jamaa kapinga fix huyo hata kama amesoma sasa wakilipwa 7500 per day labda awe na shughuli nyingine.
 
View attachment 2180867

Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri!

Amesema yeye alipokuwa chuo alikuwa anatumia hela ya boom kula bata na kununua TV lakini kuna rafiki yake wakaribu ambaye yeye alikuwa ana jibana sana baada ya muda alikwenda kuwaonesha Apartments alizojenga kwa hela ya boom!

Angalizo!

Je wanachuo kwanini mlishindwa kujenga aprtments kama rafiki yake Daniel Kijo?

Ni kweli hela ya boom inaweza jenga apartments hata kijinini kabisa?

Kajenga apartment , nyumba au vyumba au chumba???

An apartment , a house, Rooms or a room???😱
 
Boom huwezi jenga waache fix

Mi Cha maana nilichoifanyia ni kuezeka na bati mabanda ya uani nyumbani hapo bi mkubwa anapata kodi yake fresh na kupaka nyumba rangi maana kwetu kulikuwa ni plasta tu najua bi mkubwa asingetoboa pekeyake

Plus kununua pc [emoji1787][emoji1787]
 
Wakati nasoma boom lilikuwa 5000 kwa siku.

Hata wangekuwa wnahesabu kuwa tunasoma siku zote kwa mwaka wanatupa pesa ya siku 363 kwa miaka 3 nliokaa chuo ni 5,475,000. Labda awe alizifanyia biashara zikazaana ila kwa hiyo pesa hawezi jenga apartment.

Tuambiane ukweli jamani tuache kuwa ma inspiration speaker wanaotia chumvi
Halafu Uwaga nachukia Mtu ananiambia inspiration za Uongo.
.
The same to me, wakati nasoma Udsm Law nilikuwa nalipwa hyo Elfu5.
.
Sasa piga Kwa miaka mi4 times siku365 times Elfu5 Kwa siku.
.
Huyo Kijo Ni Muongo Sana
 
Make hapo kwanza ncheke🤣🤣

Boom hili hili au kuna lingine?🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kupata vichekesho kama hivi tunapiga ngapi vile?🤣🤣
 
Back
Top Bottom