Dann Sserenkuma kuvunja mkataba na Simba SC, Uchawi watajwa kuwa sababu

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Dann Sserenkuma aliyesajiliwa kutoka Gor Mahia ya Kenya ameomba viongozi wa Simba kuvunja mkataba nae.

Dann bado hajarudi kutoka kwao, aliomba ruhusa kuwa ana matatizo ya kifamilia, alitakiwa awe amerudi toka wiki iliyopita lakini ametuma taarifa ya kutaka kuvunja mkataba.

Kanuni za simba zinaruhusu kufanyika mazungumzo ya uvunjaji mkataba, endapo Mchezaji hajaonyesha kiwango kizuri cha kusaidia timu.

Chanzo cha ndani kinaeleza baadhi ya sababu kuwa kichochezi kwa kuondoka kwa mchezaji huyo.

1. Kukaa Benchi muda mrefu bila kucheza.
2. Timu kutokuwa na muendelezo mzuri kwenye Ligi.
3. Pia Sserenkuma alieleza zaidi kuwa baadhi ya Viongozi wa Simba SC wanamlazimisha kutumia madawa ya ushirikina ( kwa mfano: ya kupata na kuogea) ili kuiwezesha simba ifanye vizuri katika mechi A ligi Kuu.

Danny Sserenkuma ameonekana akikerwa na imani ya Club ya simba katika masuala ya ushirikina.

Anasema kuna baadhi ya wachezaji wenzake wana mchawia kiwango chake ili waweze pata nafasi katika kikosi cha kwanza.
 
Nimesoma nikacheka sana hilijamaa nililiandikia mpaka thread akushtukaaaaaa
 
Simba na uchawi hawatengamani
 
Simba kuna njaa aana kwa sasa.
Ukiachilia mbali serikali kukamata waganga imekuwa haifanyi vizuri sana mpka waende zanzibar ambako sheria ya kukamata wachawi haiko.
 
simba pasua kichwa sanaa
furaha siku 1 mnuno siku 7, khaaa!!
 
Mtasema yote nyie ila Ipo Siku utaipenda Simba mnyama Taifa kubwa tuachien Simba yetu
 
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Dann Sserenkuma aliyesajiliwa kutoka Gor Mahia ya Kenya ameomba viongozi wa Simba kuvunja mkataba nae.

Dann bado hajarudi kutoka kwao, aliomba ruhusa kuwa ana matatizo ya kifamilia, alitakiwa awe amerudi toka wiki iliyopita lakini ametuma taarifa ya kutaka kuvunja mkataba.

Kanuni za simba zinaruhusu kufanyika mazungumzo ya uvunjaji mkataba, endapo Mchezaji hajaonyesha kiwango kizuri cha kusaidia timu.

Chanzo cha ndani kinaeleza baadhi ya sababu kuwa kichochezi kwa kuondoka kwa mchezaji huyo.

1. Kukaa Benchi muda mrefu bila kucheza.
2. Timu kutokuwa na muendelezo mzuri kwenye Ligi.
3. Pia Sserenkuma alieleza zaidi kuwa baadhi ya Viongozi wa Simba SC wanamlazimisha kutumia madawa ya ushirikina ( kwa mfano: ya kupata na kuogea) ili kuiwezesha simba ifanye vizuri katika mechi A ligi Kuu.

Danny Sserenkuma ameonekana akikerwa na imani ya Club ya simba katika masuala ya ushirikina.

Anasema kuna baadhi ya wachezaji wenzake wana mchawia kiwango chake ili waweze pata nafasi katika kikosi cha kwanza.
Hivi huwa mnapata faida gani kuandika habari za kutunga na za uongo kama hizi? Ingekuwa ni kwenye gazeti tungesema labda ulikosa habari ukaamua uandike tu ili kurasa zijae.

Hii habari ya kukatisha mkataba imeandikwa kwenye gazeti la Mwanaspoti na sababu kubwa imeelezwa ni kulinda kipaji chake kwa sababu amekuwa hachezeshwi mara kwa mara sasa hizo sababu za kwamba timu haina mwendelezo mzuri na sijui ni kwa sababu ya ushirikina mara wenzake wanamchawia wewe umezipata wapi?

Mara nyingi tunapenda sana kulaumu waandishi wa habari kwa kupenda kuongeza chumvi kwenye habari zao lakini huwa tunalazimika kuwaelewa kwamba labda hawajasoma vizuri ndo maana wanafanya hivyo au kwa sababu wanajua wateja wao wanataka nini hivyo wanapenda kuongeza chumvi ili wafanye biashara, sasa wewe kuongeza chumvi, tena hii sio chumvi tuseme ni kuweka sumu kabisa nini msukumo wake?

Upinzani wa jadi sio lazima uandike mabaya kwa mwenzako hasa yale ambayo sio ya kweli.
 
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Dann Sserenkuma aliyesajiliwa kutoka Gor Mahia ya Kenya ameomba viongozi wa Simba kuvunja mkataba nae.

Dann bado hajarudi kutoka kwao, aliomba ruhusa kuwa ana matatizo ya kifamilia, alitakiwa awe amerudi toka wiki iliyopita lakini ametuma taarifa ya kutaka kuvunja mkataba.

Kanuni za simba zinaruhusu kufanyika mazungumzo ya uvunjaji mkataba, endapo Mchezaji hajaonyesha kiwango kizuri cha kusaidia timu.

Chanzo cha ndani kinaeleza baadhi ya sababu kuwa kichochezi kwa kuondoka kwa mchezaji huyo.

1. Kukaa Benchi muda mrefu bila kucheza.
2. Timu kutokuwa na muendelezo mzuri kwenye Ligi.
3. Pia Sserenkuma alieleza zaidi kuwa baadhi ya Viongozi wa Simba SC wanamlazimisha kutumia madawa ya ushirikina ( kwa mfano: ya kupata na kuogea) ili kuiwezesha simba ifanye vizuri katika mechi A ligi Kuu.

Danny Sserenkuma ameonekana akikerwa na imani ya Club ya simba katika masuala ya ushirikina.

Anasema kuna baadhi ya wachezaji wenzake wana mchawia kiwango chake ili waweze pata nafasi katika kikosi cha kwanza.

Kwanza Huyo Danny Sserukuma Ni Mpumbavu, Mjinga Na Hana Akili Na Atambue Kuwa Sisi Wana Simba Hatumpendi Na Hatumtaki Na Akiondoka Pia Ndiyo Furaha Yetu. Mchezaji Gani Wa Mpira Na Mwanaume Ana Hips Nzuri Utadhani Za Dada Yangu Miss Chaga? Ukienda Roma Lazima Uishi Kama Wana Roma Na Simba Tutaendelea Sana Kuroga Na Kufanya Ushirikina Kwa Kwenda Mbele Kwani Huo Ni Utamaduni Na Urithi Tulioachiwa Na Wazee Wetu. Tena Nimefurahi Alivyoomba Kusitisha MKATABA Wake Na Simba Sports Club. Apeleke Rasta Zake Chafu Na Zenye Chawa Huko Kwao Uganda.
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏.
 
kwa kweli Danny hajawa na msaada Simba na amefanya uamuzi wa busara wa kujaribu kwingineko kama ni kweli,tumeona Tambwe alikua na kagoli kamoja Simba sasa ana karibu manne Yanga, Bahanuzi naye kajinyakulia milioni yake kutoka kusugua benchi Yanga, huenda Tegete naye atafakari mustrakabali wake, lkn kwa Danny pia naunga mkono hoja aende kwa sababu zozote zile
 
Simba kuna njaa aana kwa sasa.
Ukiachilia mbali serikali kukamata waganga imekuwa haifanyi vizuri sana mpka waende zanzibar ambako sheria ya kukamata wachawi haiko.

Timu ambayo inamlipa mchezaji wake Okwi 5.3m kwa mwezi, unasemaje "kuna njaa"?
Timu ambayo juzi juzi ilmkabidhi 80m mkude na kudouble mshahara wake, huoni aibu kusema "kuna njaa"?
Timu ambayo inaendelea kumlipa kiongera mshahara mnono japo imemuondoa katka list ya wachezaji iliyowasajili, unapataja wapi nguvu ya kusema "kuna njaa"?
Timu ambayo ilitumia zaidi ya 80m kuvuka bahari ya hindi kwenda kujiandaa na mechi ya Yanga, huoni soni kusema "kuna njaa"?

Labda sijui maana ya neno "kuna njaa".
 
Simba hakuko shwari mkuu mechi ya yanga ndiyo dewji alifanya mambo.
 
Back
Top Bottom