Aliwahi kuhojiwa safari yake kwenda Hollywood ilikuwaje, alieleza. Baada ya kukosa credits za kuendelea na elimu ya juu, familia ilimuuliza anataka ajifunze ufundi gani? Akiwaambia anataka kuwa kinyozi.Huyu jamaa ni zaidi ya kituko
Hapa Bongo mimi huwa nikimuona Kingwendu hata kama hajaongea chochote, huwa nakaribia kuzimia kwa kicheko. Yaani ule muonekano wake tu unanitosha kabisa hata kabla ya nyongeza ya kitu kingine chochote kileWatu wafupi halafu wawe wanene huwa na vituko sana. Ila ukute wafupi wembamba wao wanajifanya ni watata sana.
Uko amerika/ulaya sijui kuna nini aiseeAliwahi kuhojiwa safari yake kwenda Hollywood ilikuwaje, alieleza. Baada ya kukosa credits za kuendelea na elimu ya juu, familia ilimuuliza anataka ajifunze ufundi gani? Akiwaambia anataka kuwa kinyozi.
Dada yake mkubwa ambae kwenye familia ndiye alikua anazo anazo, alimshauri ni kheri ajifunze kazi hiyo Hollywood ili awe anawanyoa mastaa. Dada alimtafutia connections na kulipa gharama.
Akiwa saloon mastaa walikwenda kunyoa, alikua anawachekesha mpaka wanatoa machozi. Wao ndiyo walimpigia chapuo apate mistari ya kuchekesha kwenye sinema.
Uko amerika/ulaya sijui kuna nini aisee
Kila wazo baadaye linageuka pesa kwa asilimia kubwa
Kibongo bongo mtu akishaambiwa awe kinyozi ndo ntolee iyo utasugua mapunye kwenye visogo vya watu mpaka [emoji3][emoji3][emoji3]