Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Wakongwe mtakua mnamkumbuka Danny De Vito katika sinema mashuhuri alizocheza ilikuwa The Twins ambapo pacha wake alikuwa Arnold Schwarzenegger. Danny ni mtundu na mchekeshaji sana akiwa kwenye sinema.
Lucy, Grace na Jake ni watoto wa Danny De Vito mwenye tabasamu la kupendeza. Mana yao Hawa watoto ni Rhea Perlman ambae walishaachana na Danny.
Danny na binti yake mkubwa Lucy
Danny akiwana Lucy kwanye Emmy Awards