Danny Lyanga ni Samatta Mpya Msimbazi


Mwingine huyu alisajiliwa kwa mbwembwe na Yanga baada ya kumchomoa kwenye kambi ya Simba mwaka juzi, kumbe Simba iliwaingiza Yanga chaka. Matokeo yake hakupangwa hata mechi moja! Kwa wenye kumbukumbu nzuri mtakumbuka yule mchezaji alikuwa anajulikana kama "Straika la hatari kutoka ligi ya Msumbiji"



 
umemsahau Shaban Kondo
 
Sasa tunawaomba Simba muache michezo ya namna hiyo maana mnatusababishia sisi yanga tununue wachezaji wengi sana kwa nia ya kuwakomoa kumbe ninyi hata hamkuwa mnawataka. sasa tutajikutannamba moja tunawachezaji mpaka 5 .huu mchezo mnaoufanya si wakizalendo hata kidogo. na ndo maana huwa mnatangaza hata kwenye magazeti kuwa mpo kwenye mpango fulani kumbe wala hamna hata nia na huyo mtu then tukiwahi kumnunua sisi mnajifanya kulalamika kidogo then mnatuachia limzigo.hiyo si njema. kama mnania ya kutupatia wachezaji wazuri muwe mnatuachia tu. mbona tambwe mlitupa kwa kiroho safi? ila huu mchezo wa kutuingiza mkenge/hasara kila mara si vizuri ndugu zanguni.
 
umenikumbusha kamchezo kalikofanywa kw a mWAIKIMBIA WAKATI AKIJA yANGA
 
Kweli wewe ni mental freshy
 
Haha.. Google imerahisisha sana mambo, naingia katika maktaba kupata reaction ya viongozi makini wa Motema Pembe.

Polite language: Tunasubiri matokeo ya Google kuhusu reaction ya Motema Pembe Mkuu.
 

Huyo jamaa nimemfuatilia ni mtu makini sana
 



Pole Na Kama Ulikuwa Hujui Jina Lenu Lingine Linaitwa Wazee Wa Kukopi Na Kupesti. Vipi Haliwafai Hili? Kwa Hayo Maudhui Yako Kwa Ulichokisema Nadhani Linawafaa Na Linawastahili.
 
Halafu jamani, hivi mkutano mkuu wa timu yetu utakuwapo lini? Naona chairman wetu amekatwa kugombea udiwani. Halafu naye chairman bwana, yaani Jenny Muro akagombee ubunge halafu chairman akagombee udiwani, tena uswahilini?

Ndiyo Mjijue Kuwa Nyie Ni MAPOPOMA MLIOTUKUKA.
 
Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitangaza kazi ya mikono yake.
2 Mchana husemezana na mchana, Usiku hutolea usiku maarifa
 
Kwa kukuza vipaji vya vijana hongera naona Kazimoto, Mgosi, kizaa mmesajili Yosso sometimes mtumie akili kupost sio kupost pumba
 

mikia naomba mtuambie ligi ikiisha huwa mnakuwaga nafac ya ngapi kwa nyie mnaochukua wachezaj wazuri,mwisho wa msimu safu ya ushambuliaji ya mikia huwa inamaliza na magoli mangapi ya kufunga na kufungwa na goal diff huwa ikoje ukilinganisha na yanga ama ni umbumbumbu ndio umewajaa vichwani,,
 

Msimamo wa ligi kuu bara Msimu uliopita ulikua hivi;

View attachment 278434

Nichoking'amua hapo juu ni kua;

1. Pamoja na Ndala kuwa na mabeki + makipa bora kabisa nchini ambao ni tegemeo pia timu za Taifa, waliruhusu kufungwa goli 18, sisi tuliokua na beki ambayo haijazoea ligi, vijana, tuliruhusu goli 19.
Msimu huu Mtalamu Kerr katujengea Great Wall Of China.. Sidhani kama kuna beki atakua na udhibiti wa kupita.. Atakaye jaribu asije sema hatukumuonya.

2. Safu ya ushambuliaji ya Ndala ilikua moto msimu uliopita, na hii ni baada ya sisi kuwauzia bunduki yetu.. Safu yao ilifunga goli 58, ukitoa magoli ya bunduki tuliyowapatia.. Sidhani hata kama wangetuzidi kwa wingi wa Magoli.
Msimu huu tumejifunza kitu, ili kuongeza idadi ya magoli ya kufunga tumewaleta Kiiza, Mgosi, Mwalyanzi na yule mshambiliaji kiboko ya mabeki visiki Emily Ndayisenga.

"When you talk about this new striking force, you means dozen of goals in a single match" - sembo
 

Tunasubili ligi itaanza soon tutajionea wenyewe watu.hawachelew kutoka povu.nafasi.ya 3 na ya 4mwaka huu haitopatkana kirahisi maana mwaduina stand united wako njemanahsi.nafas ya7 itakua.haku yetu
 
Tunasubili ligi itaanza soon tutajionea wenyewe watu.hawachelew kutoka povu.nafasi.ya 3 na ya 4mwaka huu haitopatkana kirahisi maana mwaduina stand united wako njemanahsi.nafas ya7 itakua.haku yetu

Mkuu jumatatu ijayo tutakua na mechi na hao Mwadui unaowasema wako njema.. Kisu kilichozichinja timu 7 katika mechi zilizopita za majaribio, sasa kimenolewa vizuri.. Kinamsubiri tu Mwadui.
Na msimu huu tunaanza ligi tukiwa na Plan Moja (A) tu.. nayo ni kuchukua ubingwa.. hatuna mjadala katika hili.. Hizo nafasi nyingine tunawaachia wengine wapambane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…