Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
aah kaka usitukumbushe hayo mambo sisi mayanga ni mijinga sana simba wanatuingiza hasara sana. wanajidai wanamtaka mchezaji halafu wao wanadi wana pesa kidogo so sisi kwa kuwa tunategemea simba kuona wachezaji wazuri tunawahi kwenda msajili kumbe ni garasa tu. wametufanyia sana hiyo michezo na danny mrwanda kwa sasa anajipumzikia tu anasubir kustaafu.
na simba waache huu mchezo wa kutuingiza mkenge kila mara.
Mwingine huyu alisajiliwa kwa mbwembwe na Yanga baada ya kumchomoa kwenye kambi ya Simba mwaka juzi, kumbe Simba iliwaingiza Yanga chaka. Matokeo yake hakupangwa hata mechi moja! Kwa wenye kumbukumbu nzuri mtakumbuka yule mchezaji alikuwa anajulikana kama "Straika la hatari kutoka ligi ya Msumbiji"