Danny Lyanga ni Samatta Mpya Msimbazi

Naipenda Simba.

Mtoa mada, nimemuona Lyanga na ana basics zote nzuri za kuwa forward aka striker mzuri ila kuna wakati decision making yake inakuwa ndivyo sivyo ! Kama mchezaji yoyote wa kibongo, akipikwa vizuri kweli anaweza kuwa tishio

Mimi nafikiri skills- wise, umri nk Samatta mpya ni huyu dogo Ajib. Nae tatizo kubwa moja ni mvivu wa mazoezi (lazy) na akipikwa kidogo sana hasa kisaikolojia na kujitambua huyu anauzika very soon !! Akili, vision yake na movement ni kama Martial, na anacheza pembeni au pale kati vizuri sana.
Moja ya goli zuri kalifunga jana ( lile sio goli la VPL....!!)
 
Mbona jamaa kanenepa sana?
Ana magoli mangapi?
Isije akawa kazidiwa hata na Kapombe
 
KWA WANOJUA MPIRA LYANGA NI STRIKER MZURI ILA ANACHOKOSA NI UTULIVU KIDOGO . NIMEMUANGALIA KWENYE MECHI YA ZAIDI 5 ANA KASI, NGUVU NA AKILI KILICHOBAKI NI UTULIVU TU AKIFIKA KWENYE 18 BASI. UMRI BADO UNAMRUHUSU KWENDA NJE KUCHEZA SOKA LA KULIPWA ATULIZE TU AKILI NA AONGEZE BIDII.
 
yupo fanja fc ya oman ambayo ndio imemsajili mrisho ngassa
 
Ataibukia Toto Africans ya Mwanza...... [emoji23]
 
Kaka yake aliyefanikiwa zaidi hapa ndani yupo City..
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…