Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipenda Simba.
yupo fanja fc ya oman ambayo ndio imemsajili mrisho ngassaKama kuna watu wazuri wa kumbukumbu wautunze uzi huu akilini mwao lakini amini usiamni straika ambaye hatajwi sana Danny Lyanga ndiye tishio zaidi kwenye safu mpya ya ushambulizi katika usajili wa msimu huu
nimemuangalia kwa makini anahitaji vitu vichache sana kuweza kucheza kwa kiwango cha juu na kuwika hatimaye kuwa tegemeo si tu kwa simba bali hata timu ya Taifa.
My best wishes goes with him!
![]()
![]()