Danube wamuandikia hamisa mobetto barua afute tangazo lao katika instagram page yake

Akifuata haya atashinda lasivo itakua fedheha baada ya fedheha
 
Afute tu, wamiliki wa hiyo kitu siyo watu wa mchezo mchezo, atajuta...

Cc: mahondaw
 
Pelekeni watoto wenu shule ndugu zangu!

Sema nchi hii nayo tofauti ya msomi na asiye msomi ni ndogo mno!

Ila wapelekeni tu at least wataelimika!
Wanafikiria kwa Viungo vingine badala ya ubongo
 
Bora kuwa na sura kama y baba ako kuliko kunyimwa akili
 
Huyu dada baada ya kufanya uchunguzi nmegundua...
She's a THREAT

watu wengi maarufu wanamchukia kwa sababu kwanza kazaa na diamond nafasi ambayo wengi wanaitaka
kingine hamisa hakopeshi kwenye evidence...
ukimchokoza anamwaga mambo hadharani ..
Thats all??? Faida ya hayo??
 
Pelekeni watoto wenu shule ndugu zangu!

Sema nchi hii nayo tofauti ya msomi na asiye msomi ni ndogo mno!

Ila wapelekeni tu at least wataelimika!
Nimechekaaa...saa nyingine tofauti unaweza uikose kabisa
 
Baada ya hii kadhia naamini Mungu atamletea faraja!! Maana anatia huruma jamani ni full mikosi loh!! Ila pia hao mtu na mkewe nao wajiangalie sana Mungu husimama na viumbe dhaifu
 
Shobo z nn? Wakati wenzie Dai n Zari wanalipwa mihela tu uko
 
Kitoto kiswahili hiki.. Hadi kero.. Kichwani punguani kabisa.. Kinadandia dandia issue.... Kimeenda Kenya huko.. Kikaleta uswahili kikapewa makavu
 
Hii vita itakuwa na msukumo nyuma yake, sidhani kama kuna mfanyabiashara anayechukia promo ya bure...
Ni ujinga kwa mfanyabiashara kufanya walofanya......

Wao kama watafuta fursa wangecheza na bifu la kijinga na zari na hamisa.......

Sema ndio biti la fulani limechangia....
 
Nani ni mchepuko???
 
Ni ujinga kwa mfanyabiashara kufanya walofanya......

Wao kama watafuta fursa wangecheza na bifu la kijinga na zari na hamisa.......

Sema ndio biti la fulani limechangia....
Kwanza sina uhakika kama barua ni legit na kama ni legit basi Danube wapo sahii kwa 100%!!

Haiwezekani mambo yenu binafsi, tena ya kugombea mabwana, mnayaingiza kwenye biashara ya mtu mwingine asiyehusika!! Hivi huoni ile clips ilikuwa inaashiria Danube nao wana upande kwenye hili au kuna kitu kinaendelea kati yao na Hamisa?!

Don't forget, hadi kuwa-tag aliwa-tag!!!

Labda tuseme, kama ni kweli hiyo barua ni legit, was it necessary hadi kufikia kumlima barua?! Walimwambia kwa mdomo/simu na akaacha kutoa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…