Kama barua husika ni halali basi hakuna kilichokosewa kwa sababu ni mwanasheria wa Danube!! Hata wewe ukiwa na issue ya kisheria na Danube wala si kwamba uta-deal na wamiliki wa Danube moja kwa moja bali uta-deal na mwanasheria wao!Mbona imeandikwa na mwanasheria sio Danube au