Danube wamuandikia hamisa mobetto barua afute tangazo lao katika instagram page yake

Mbona imeandikwa na mwanasheria sio Danube au
Kama barua husika ni halali basi hakuna kilichokosewa kwa sababu ni mwanasheria wa Danube!! Hata wewe ukiwa na issue ya kisheria na Danube wala si kwamba uta-deal na wamiliki wa Danube moja kwa moja bali uta-deal na mwanasheria wao!
 
Danube Wamuandikia Hamisa mobeto kufuta Video yao kwa sababu za kibiashara...
 
Sjawahi ona mwanamke mswahili kama hako kadada
Tatizo sio promo ya bure,pengine mkataba au makubaliano ya tangazo husika yameelekeza kwamba litatangazwa asilimia mia moja na muhusika na si vinginevyo

Kama sio hivyo pia nahisi kuna vifungu vya makuabliano kati ya danube na zari/mondi vinavyomfunga celebrity mwingine kulitumia tangazo kwa personal issues

Hata hivyo lengo la hamissa halikua kutangaza bidhaa za danube bali lilikua kumchokonoa zari kwa hiyo ame misuse tangazo la watu kwa personal interest, na hata kama angekua na lengo la kuipa promo danube, ni lazima kuna hatua za kufuata ili kupata permission

I stand to be corrected
Hii vita itakuwa na msukumo nyuma yake, sidhani kama kuna mfanyabiashara anayechukia promo ya bure...
 
Siku alipolipost wali like ujue...
 
Siku alipolipost wali like ujue...
Yawezekana,lakini bado wapo sahihi katika uwanaj wa sheria,mtu hawezi kutumia jina la biashara yako tu kwa maslahi binafsi, na isitoshe hatimiliki ya hilo tangazo ni ya kwao, hamissa alitakiwa kutumia akili japo kidogo
 
Ni kweli alitumia tangazo kwa personal interest, tena kumpigia vijembe ambassador wa Danube, angetozwa na faini kabisa , ha ha ha wakate ile elf 70
 
Ni kweli alitumia tangazo kwa personal interest, tena kumpigia vijembe ambassador wa Danube, angetozwa na faini kabisa , ha ha ha wakate ile elf 70
Tatizo hamissa hajitambui jamani,she cant live her life,anataka mashindano na uswahili mwingi, ningekua mimi ningekaa kimya mpaka watu waanze kutafuta nipo wapi,she needs to move on atafute cha kufanya alee watoto, hawezi na hataweza kushindana na zari hata kama mondi angemuacha zari amuoe hamissa, bado hamisa hawezi kushindana na zari
 
Inaelekea wengi hamjaishi kuona mikataba ikisimamiwa inakuaje na kampuni wakiboronga au kuborongeshwa.. Ila alilifuta tangazo fasta haswa.
 
Umesema sawa,Lengo la huyu binti ilikuwa kumchokonoa Zari na hata kama gsm walilike mwanzoni walidhani amefanya in good faith kuwapromote.As a result baada ya Zari kuja kufungua duka la Danube Mliman city team zikaibuka kudai lilikuwa deal la Hamisa na Zari amempokonya.Kitu bacho kilifanya Danube waanze kutukanwa na watu kuanza kuhamasisha wateja waboycott bidhaa za Danube.
Ukiangalia chanzo cha yote ni nini ni chokochoko za huyu binti asiejitambua Hamisa.Hivi kwanini asiishi tu maisha yake?Kashaingilia mahusiano ya mwenzie sawa,kalala kitanda cha mwenzie sawa,Kavujisha picha mitandaoni sawa,kazaa na Mondi sawa..Sasa anataka nini tena jamani?Tumeshajua amezaa na Mond anataka nn tena kuanza kuingilia bado deals za wenzie?Ndo maana Mond anamkazia maana hajielewi wala hajitambui huyu..
 
Mashindano yenyewe yapi jameni labda kutumia filters, wakati anaburuzana na baby dady mahakamani for elf 70 mwenzie yupo mbali...
Aachane na hayo mambo alee watoto
 
Fungu la kukosa Hamissa doh naona hata instagram ya mwanae kafuta zile mbwembwee za Diamondplatnumz Son
 

Danube home wamuandikia hamisa mobetto barua afute video ya tangazo lao kabla hajachukuliwa hatua Kali za kisheria kutokana na dhumuni lake la kujipatia maslahi binafsi na kutaka kuichafua kampuni
Bora Mungu akunyime urembo akupe akili.

Halmashauri ya kichwa cha Hamisa haina ushauri mzuri.

Fursa ya kuwa na Naseeb a.k.a.Diamond angeitumia vizuri kuliko daily kupost upuuzi.

After all she will remain LOOSER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…