Danube wamuandikia hamisa mobetto barua afute tangazo lao katika instagram page yake

Bora Mungu akunyime urembo akupe akili.

Halmashauri ya kichwa cha Hamisa haina ushauri mzuri.

Fursa ya kuwa na Naseeb a.k.a.Diamond angeitumia vizuri kuliko daily kupost upuuzi.

After all she will remain LOOSER.
Sasa kama mshauri wake ni Mange Kimambi unategemea akili yake itakuwajee....
 
Ni hatari Kwa kampuni wameona mbeleni anaweza kuwadai kawaingizia pesa Kwa tangazo hilo kama anavyodai pesa ya matunzo ya mtoto Kwa Diamond
 
Hamisa kataka alipwe na yeye kisa kapost tangazo.
Ndio maana barua inasema kua kaweka tangazo for her own gain.
Anawasumbua danube alipwe alitumwa aliweke tangazo hilo. Viranga vingine bwana.
Kuhusu tangazo watu hua wanarepost sana. Sasa yeye kaona ndio gia ya kutokea. Sasa mtu hamjaingia mkataba wowote unataka ulipwe. Aendelee kutangaza magauni ya nguva na viatu apate pesa.
Na ndio dawa ya kuingilia mahusiano ya watu.
 
Masikini hela ya tabu, baby dully mwisho atavaa bambino sasa, hela ya pampers ni ya manati
 
Duuh .....Ila kiukweli Hamisa kachokozi kweli kweli, yaan ujanja ujanja kama wa Zari hana kabisa!
 
Hajui kutumia fursa huyu mdada! Ana uswahiliswahili sana vinginevyo kuwa na Mondi ni fursa tosha kutoka kimaisha ila yeye hakujua kuitumia akaishia kwenye mipasho ya kijinga. Mwenzake Zari kajimilikisha tena yeye kabaki na uswahili wake
Mangi kitambi amemdanganya ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…