Blessingmore
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 377
- 394
Sasa kama mshauri wake ni Mange Kimambi unategemea akili yake itakuwajee....Bora Mungu akunyime urembo akupe akili.
Halmashauri ya kichwa cha Hamisa haina ushauri mzuri.
Fursa ya kuwa na Naseeb a.k.a.Diamond angeitumia vizuri kuliko daily kupost upuuzi.
After all she will remain LOOSER.