Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Endeleen kuhofia hivyo hivyo
 
Kwahiyo mtu anatekwa stendi na nyie mnaangakia tu? Hivi hata kama wana bastola mkamrukia huyo mmoja mwenye bastola si wengine watakimbia, au?
 
Bahati mbaya sana wanatekeleza maagizo kutoka juu na sio kwa mujibu wa sheria.

Inasikitisha sana nchi imekuwa ya namna hii, wenye madaraka wanayatumia kwa namna isiyo sawa.
 
Hizi ni Drama tu hamna lolote hapo. Abdul Nondo naye ni wa kutekwa? Acheni Drama.
 
Ccm wakiwa kazini wakishirikiana na policcm.
 
Natamani angekuwa Mama yako ndo uje useme unachotaka

Nyinyi ndo unakuta vitoto vya chekechea vinataka kuvuka barabara unavipita tu bila kuvipa Msaada wa Kuvuka....ukiuguwa na kupasuliwa tumbo huyo Doctor ulimpaga kuwa ndugu yako...
 
Humu coment nyingi ni za kulaumu, niwaambie kwenye Historia ya Dunia hainyoeshi kokote kule ambako mabadiliko yalitokea kupitia kulalamika.

Keybord woriour tuendelee kulaumu kama ilivyo jadi yetu.

Na pia niwatikie kulaumu kwema
Wewe pia umelaumu
 
Utakuta baada ya siku 2 abaokotwa ameharibika vibayaaaa.

Eee Mungu shusha mapigo yako kwa watesi hawa na wanaoagiza
 
Mimi namchukia sana jiwe.
1. Alimpiga Lisu risasi hadharani.
2. Ndiye mwanzilishi wa haya yote yanayoendelea ktk chaguzi.
3. Ndiye mwanzilishi wa vikundi vya kihalifu.
4. Ndiye mwanzilishi wa uporaji, mauaji na utekaji wa raia wake.
Yule ndo aliyeaminisha kwamba inawezekana kufanya umafia wowote ule na kila Rais wa ccm lazima atatumia playbook ya magufuli
Jamaa alikua shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…