Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pasikali mambo mengine ujue unaongea na watu wa uelewa gani? Usishangae ukaambiwa unashabikia utekaji.
Ndugu yangu wenda kwa sasa yupo na changamoto flani , twendelee mvumilia , akiweka wazi tumsaidie ,tusimtenge ndugu zangu , maisha ya duniani mepesi mno ,usimpambe yoyote duniani wakati nyote mtakufa
 

Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi.

Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu

====

UPDATE

JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa ACT Wazalendo Shangwe Ayo ambapo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akieleza Nondo alikuwa ametokea Kigoma baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa kumalizika, ambapo wakati anashuka kwenye basi Stendi ya Magufuli watu wasiyojulikana watatu walimfuata kukawa na purukushani Nondo akijitahidi kujinasua lakini walifanikiwa kumchukua na kuangusha pingu walizokuwa wameenda nazo pamoja na begi alilokuwanalo Nondo

Matukio mengine ya utekaji kuwahi kufanyika nchini haya hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Shangwe ameeleza pia gari lililomteka Nondo ni Land Cruiser nyeupe yenye namba za usajili T 249 EMV. Taarifa za awali walizitoa kwa mashuhuda ambao walikuwa wanamfagamu Nondo, baada ya kufungua begi lake kulikuwa na note book ambayo nayo ilithibisha kumilikiwa na Abdul Nondo

Pia shuhuda aliyekuwa eneo la tukio amesema gari hilo lililokuja kumteka Abdul Nondo lilikuwa na watu 4, wawili wakiwa na bunduki na wawili wakiwa mikono mitupu, watu walipoenda kuangalia kuna nini na kujaribu kuhoji waliwanyooshea bastola na hivyo watu kubaki wanaangalia tukio hilo likitokea na Abdul Nondo akawa ametekwa! Katika purukushani hizo kwa maelezo ya shuhuda mbali na pingu na bengi la Nondo, ilianguka pia inadaiwa simu ya moja ya watekaji ambavyo vyote vilikabidhiwa kwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Magufuli.

View attachment 3166434
Nilipo sema hapa kuwa huyo mjalaana sa100 bushiri kuhusu damu nyingi kumwagika chadema na upinzani na waisiharamu wa hapa JF walinibishia mimi niliye genius wa ukweli sasa hivi awa amini macho na masikio yao wanaona kama miujiza 😇 bado damu inatakwa kena ni nyingi mno.
 
Kwanza tuwekane sawa, hakuna chombo chochote cha habari kinachomilikiwa na chama cha siasa. Media zote zinamilikiwa na makampuni tanzu yake.

Editorial independence ni uhuru wa media kutoa contents kwa uhuru kabisa
bila kuingiliwa, tusiwaingilie kwa kuwapangia nini watoe!.

Madam media ziko nyingi, usipotoa wewe, mwingine ametoa, umma umehabarika itoshe.

P
Sikia huyu zuzu 🙄🙄 sijui huyu zuzu kashindwa vipi kujua kuwa hata kutokutolewa kwa hizi habari tayari ni matokeo ya kuingiliwa uhuru wa hivyo vyombo ...huyu Mayalla ni sawa sawa na zuzu anaye funga mlango wa nyumba yake na kufuri kisha akaulizwa kwanini anafunga nyumba na kufuri yeye akajibu kuwa anafunga kwa kufuri hili kuzuia wahalifu kuingia ndani bila ya kujua kuwa tayari muhalifu amesha ingia ndani na kajifungia pamojq naye...vyombo vya habari vimesha ingiliwa siku nyingi na hayoa ya kutokuandika hizo habari ni matokeo ya kuingiliwa wala siyo matokeo ya kuwa huru
 
Kwanza tuwekane sawa, hakuna chombo chochote cha habari kinachomilikiwa na chama cha siasa. Media zote zinamilikiwa na makampuni tanzu yake.

Editorial independence ni uhuru wa media kutoa contents kwa uhuru kabisa
bila kuingiliwa, tusiwaingilie kwa kuwapangia nini watoe!.

Madam media ziko nyingi, usipotoa wewe, mwingine ametoa, umma umehabarika itoshe.

P
Asante sana Paskali
 
Back
Top Bottom