Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Pasikali mambo mengine ujue unaongea na watu wa uelewa gani? Usishangae ukaambiwa unashabikia utekaji.
Ndugu yangu wenda kwa sasa yupo na changamoto flani , twendelee mvumilia , akiweka wazi tumsaidie ,tusimtenge ndugu zangu , maisha ya duniani mepesi mno ,usimpambe yoyote duniani wakati nyote mtakufa
 
Nilipo sema hapa kuwa huyo mjalaana sa100 bushiri kuhusu damu nyingi kumwagika chadema na upinzani na waisiharamu wa hapa JF walinibishia mimi niliye genius wa ukweli sasa hivi awa amini macho na masikio yao wanaona kama miujiza πŸ˜‡ bado damu inatakwa kena ni nyingi mno.
 
Sikia huyu zuzu πŸ™„πŸ™„ sijui huyu zuzu kashindwa vipi kujua kuwa hata kutokutolewa kwa hizi habari tayari ni matokeo ya kuingiliwa uhuru wa hivyo vyombo ...huyu Mayalla ni sawa sawa na zuzu anaye funga mlango wa nyumba yake na kufuri kisha akaulizwa kwanini anafunga nyumba na kufuri yeye akajibu kuwa anafunga kwa kufuri hili kuzuia wahalifu kuingia ndani bila ya kujua kuwa tayari muhalifu amesha ingia ndani na kajifungia pamojq naye...vyombo vya habari vimesha ingiliwa siku nyingi na hayoa ya kutokuandika hizo habari ni matokeo ya kuingiliwa wala siyo matokeo ya kuwa huru
 
Asante sana Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…