DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

physician2023

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2023
Posts
859
Reaction score
1,036
Huko Pugu, Dar es Salaam, kuna tajiri na mganga wa kienyeji, inasemekana amemuua mlinzi wake kwa tuhuma za wizi. Na tajiri huo na mganga wa kienyeji ,ametokomea kusikojulikana. Na wananchi wenye hasira, wamemuua kwa kumpiga mawe, baba wa muuaji huyo.

=======================

Mkazi mmoja wa Pugu Kigogo Freshi, jijini Dar Es Salam anayejulikana kwa jina la Taza Nonywa anasakwa na polisi kwa tuhuma za kumuua kwa kumtenganisha kichwa na kiwiliwili mlinzi wake wa nyumbani ambaye pia alikuwa akilinda eneo la biashara.

Kufuatia tukio hilo, wananchi wa eneo hilo wamelipa kisasi kwa kumshambulia na kumuua baba wa mtuhumiwa alipojaribu kukabiliana nao kumtetea mwanae, kisha waliharibu mali na nyumba ya mtuhumiwa. Chanzo cha shambulio hilo bado hakijakulikana.

Chanzo: AzamTv

View attachment 2971045
Ndo huyo kijana nasikia mashuhuri tiktok
 
Nilifatilia kwenye youtube baba mtu alikuwa anashirikiana na mtoto na pia hiyo siku alimkingia kifua yani kumtetea
Ukweli unaweza ukawa si hivyo unaosimuliwa.
Ingia YouTube angalia tukio la yule Mtoto aliyekojolea msahafu,kuna dada anahojiwa katika hiyo clip juj ya chanzo cha vurugu hizo,huyo Dada anachokiongea sicho kabisa kilichokuja julikana baadae.
 
Raia wana hasira

Alafu tajiri hutaki kulipa mtu mshahara wake hawa mamilionea wa mtandaoni fks sana

Ova
 
Back
Top Bottom