Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atamfufua vipi?Angemfufua aliyemuua kwanza.HAO WANANCHI NI MASHUJAA,
MAAMUZI SAHIHI WAKATI SAHIHI.
TAJIRI ALIJICHUKULIA SHERIA MKONONI.
MASHUJAA WAKAJICHUKULIA SHERIA MKONONI.
SASA MGANGA KAZI UNAYO YA KUFUFUA BABAKO, KUWAFUNGA MDOMO MASHUJAA
Wengi wanaokuwa mashuhuri titok,wanatokewa na visa vya ajabu.Ndo huyo kijana nasikia mashuhuri tiktok
Nimeifatilia hiki kisa kwa muda sasa, yalipo nyuma ni mengi nahisi serikali yatakiwa kufanya uchunguzi.Raia wana hasira
Alafu tajiri hutaki kulipa mtu mshahara wake hawa mamilionea wa mtandaoni fks sana
Ova