DAR: Adaiwa kumuua mlinzi wake Pugu, baba yake naye auliwa

Safi sana,hao wananchi mashujaa
 
Sasa baba wa muuaji anakosa Gani?
Kosa lake hapo ni kutumia hisia kufanya maamuzi badala ya kutumia akili. Hapo kweli alikuwa anataka kumtetea kijana ake angemwambia atokomee na yeye apotee eneo la tukio. Maana uwezi bishana na wananchi wenye asila kali wengne ni wagonjwa wa akili.

Japo kujichukulia hatua mkononi sio jambo jema
 
Tupeni ufafanuzi,huyu tunasikia ni tajiri na mganga wa kienyeji.
 
Hawa wananchi wanaoitwa wenye hasira wananifikirishaga sana,wananifanya niamini tunaishi na mashetani au roho za kishetani zenye kiu ya damu .Unakuta mtu hata hajui nn kinaendelea ila akiona mtu anapigwa nae anaambukizwa hasira anaendeleza kupiga.Watu wanapiga mtu mpaka anamwaga dam lakini wanaendelea mpaka anatoka uhai kwa ishu isiyokuhusu hata kidogo,kitu ambacho ungepiga simu police tu,waafrica bado tunaishi porini kwa kweli.
 
"You Gonna reap just what you saw"

Luckdube 1994

Kila mtu asikilize hii nyimbo. Inaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…