Raia wana hasira
Alafu tajiri hutaki kulipa mtu mshahara wake hawa mamilionea wa mtandaoni fks sana
Ova
Nimeifatilia hiki kisa kwa muda sasa, yalipo nyuma ni mengi nahisi serikali yatakiwa kufanya uchunguzi.
Kulikuwa na beef kati ya huyo jamaa na Manyau nyau,ndo wakachezeana michezo. Huyo Manyau nyau anaonekana kuhusu kwa asilimia nyingi sanaaaa,kama ifuatavyo.
1. Hao mashuhuda, na waandishi wa habari wa hizi online media walikuwa wakiongea ktk gari ya Dr manyau wakijisahau kuwa bado wapo Live ktk tiktok na Media zingine. Sauti za nyuma ziki sadifu kuwa mchezo mzima Manyau nyau anaujua.
2. Kupangwa kwa mashuhudua na kujigamba kuwa nimemnyoosha adui yangu. Kuna watu walipangwa kama mwanamke mmoja akihojiwa na hao waandish wa habari za online, alikuw ni demu wa huyo manyau nyau. ( the guy hayuko smart anaacha trace nyingi za uovu wake.
3. Vitisho kwa wale watu wote wanaojaribu ku cover hii story. Kuna jamaa anajiita Dr. William Ni Dr , alikuwa anafany ku expose uganga feki wa manyau nyau, so akanza kuifatiilia na hii ishu pia.
4. Manyau akisikika mara nyingi kukiri utapeli na unasibu na wale waliokuw wanasem wamuua dingi wa yule mshkaj,btw mkataba wa kulipwa huyo mlinzi ulikuja kuletwa proving hiyo kitu ni uongo.