Dar: Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake aliyegoma kubadili dini

Dar: Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake aliyegoma kubadili dini

Sasa ndio uone kuwa ninajua ninachokisemea. Mimi nikiwa naandika hapa wewe unapuyanga hausomi tukikutana kwenye mijadala unataka ligi na mimi kumbe you even lack a basic knowledge ya kutambua what feminism is and what is it about. 😂

Anyways, kwenye huu uzi umeweza kujionea simp mwenzako yaliyomkuta. Mimi ninaposema vijana wasiwe masimp wewe huwa unasema niwaache wafanye maamuzi ya wanachojisikia kufanya kwasababu wanatumia pesa zao sio zangu.

Sasa nikuulize ,hiki kilichotokea hapa kimemfaidisha nini huyu kijana?🤔

Unapingana vipi na mimi kama hii habari ni mbaya? Labda kama kwako huu uzi umekufurahisha na umeona ni sawa kilichomkuta huyo binti wa watu ambaye katolewa uhai na mwanaume ambaye alishindwa kuratibu matendo na akili yake vema kwasababu kakosa misingi ya kiume mizuri kama wewe.

Na wewe ukiendelea na usimp ipo siku utanikumbuka kwasababu utatambua kuwa haukuwa unajua kitu kuhusu uanaume.

View attachment 3475711
Wewe umeingia mtandaoni ukakuta wanaharakati uchwara na ishu zao za simp ukaunga tela bila kufikiria mara 2. Mara nyingi watu kama wewe mna matatizo makubwa kisaikolojia hivyo ili kupinguza stress mnashambulia watu mtandaoni. Labda kuna mtu mwenye hela alikuchukulia demu hivyo kupunguza machungu ni kushambulia wanaume wenzio.
 
Sasa huyo mwanaume angekuwa simp angemlazimisha mwenziwe abadili dini hivi unajua sifa za masimp lakini, na angefikia hatua ya kumuua kisa kagoma kubadili na kutaka aende kwao, hapa msiwasingizie masimp hizo ni tabia zenu misogynists mnaojiita ma alpha male
Huyo jamaa ni feminist wa kiume. Utabishana nae na kupoteza tu muda. Mada zake nyingi ni za kushambulia wanaume kwa kivuli cha Simp. Kimsingi Zemanda ni mwanamke katika umbo la kiume.
 
Kwa sababu jambo kama hili ni nadra sana kufanywa na Wagalatia,

Kwamba ushawahi kusikia kuna Muislam kamuua asiye Muislam kwa sababu asiye Muislam kakataa kusilimu ili amuoe?

Halafu wanaofanya mauaji haya mnayoyaita ya "wivu wa mapenzi" wengi huwa ni Waislam au wasio Waislam?

Hebu usituchefue aisee.
 
Wewe umeingia mtandaoni ukakuta wanaharakati uchwara na ishu zao za simp ukaunga tela bila kufikiria mara 2. Mara nyingi watu kama wewe mna matatizo makubwa kisaikolojia hivyo ili kupinguza stress mnashambulia watu mtandaoni. Labda kuna mtu mwenye hela alikuchukulia demu hivyo kupunguza machungu ni kushambulia wanaume wenzio
Ni kama wewe mtoto mdogo wa juzi kushabikia CCM chama cha zamani tena chenye fan base ya wazee wengi zaidi then kujifanya unakijua kuliko waasisi wake na kutufundisha wakubwa zako siasa.

Mimi ajenda zangu ni maoni yangu binafsi na ni matokeo ya kujifunza na kutengeneza hoja zangu sina influence ya kufuata mkumbo kama wewe hadi unajibrand jina la mama Dully kama mama yako mzazi vile.
 
Huyo jamaa ni feminist wa kiume. Utabishana nae na kupoteza tu muda. Mada zake nyingi ni za kushambulia wanaume kwa kivuli cha Simp. Kimsingi Zemanda ni mwanamke katika umbo la kiume.
Ona jinga hili kila siku nalielekeza maana ya feminist hata halielewi no wonder ni chawa 😂😂😂 so masimp unaita wanaume kamili, wewe inalekea hata mashoga nao kwako ni wanaume kamili.😂😂😂 Wewe kweli simp lenyewe original.

images (10).jpeg
 
Nilishawaambia na nitazidi kuwaambia kuwa usimp hauna faida yoyote kwa mwanaume zaidi ya kumpa maumivu makali sana ya kihisia / ya kimoyo na hatimae kumsababishia umauti.

Sijawahi kuona au kukutana na simp anaeshinda mwisho wa story,masip wote hushindwa vibaya na kuumizwa sana kihisia ikifuatiwa na umauti.

Kuwa Simp hakuna faida yoyote kwako kama mwanaume,hata mwanamke anajua hilo why wewe haujui mtoto wa kiume?🤔

Ona sasa huyo simp tayari ameshapata maumivu yaliyompa hasira kali ya kufanya mauwaji na sasa mnaona kahukumiwa kifo. (Zemanda's SIMP LAW APPLIES AND WINS 🏆😎). Kama angelijua mapema, angeheshimu ishara za awali ambazo zingemguide kama mwanaume kufanya maamuzi sahihi ya kimahusiano.

Si ajabu huyu mwanamke alishamuonyesha ishara nyingi za kuwa huko mbeleni kuna utata atamletea ila huyu kijana akaona option ni kuwa simp na kuendelea kuvunja kanuni za kiume na kuanza kucheza mchezo wa mwanamke na automatically akawa Simp kwa huyu mwanamke ambaye ni dhahiri hakuwa na mapenzi ya dhati kwake.

Angekuwa ametumia akili japo kidogo basi angetumia alama na ishara ya kwanza ya dosari ya kimahusiano ambayo mwanamke alimuonyesha kufanya maamuzi ya kuanza maisha yake ya kimahusiano upya pengine leo hii muda huu angekuwa anasoma sms ya mwanamke mwingine tofauti na huyu aliyemuua ambaye angempenda kwa dhati akimuuliza anaendeleaje na kazi na akirudi wafanye kitu gani au wale nini?

Ila kijana kwasababu ya kukosa elimu ya kiumeni akaamini kuwa mwanamke yupo m'moja tu Dunia nzima na asipopendwa nae ni bora kifo kuwatenganisha na sio kuishi bila yeye.

Sasa huyu kilaza simp kama mwenzake 👉🏿 MamaSamia2025 tayari anajifunza kwa gharama wakati elimu huwa natoa hapa free.

Pengine angesoma na kuelewa maandiko yangu ya kukemea usimp saa hii angekuwa pengine huru na maisha yake somewhere anaishi kwa utulivu. Ila alichagua usimp tazama sasa alipokomea.

So again, Zemanda says, "Vijana acheni kusimp, mwisho wa u'simp ni maumivu makali ya hisia na moyo na utamalizia na umauti". Hiyo lazima itokee na ni guarantee kutokea.

View attachment 3475644
Upo sahihi utangaa mwanaume mzima mwenye nguvu zake una compromise standards za mwanamke unayemtaka
Mwanaume yeyote weka vigezo vya mwanamke umtakaye sababu wewe ndio unawajibika kwa gharama za fedha na nguvu zako kuihudumia
Ushawahi muona mfadhili anawekewa masharti ya fedha zake?
MWANAUME IJUE THAMANI YAKO NA USIMAMIE MISIMAMO YAKO
WANAWAKE WAPO WENGI NA WANAZALIWA KILA SIKU
TAFUTA PESA WEKA VITEGA UCHUMI TUNZA AFYA YAKO UNAWEZA KUOA MUDA WOWOTE HATA UKIWA NA MIAKA 60 UKAOA KABINTI KA MIAKA 18
 
Wagalatia kwenye ubora wao.Ingekuwa vice versa wavimba macho wangeshajaa kwa kashfa za kidini.Sasa kwa sababu muuaji ni mgalatia kimyaaa.Sasa wana isipin kwenye kataa ndoa.
😁😁 Na hawasemi Kuwa ni gaidi
 
Ni kama wewe mtoto mdogo wa juzi kushabikia CCM chama cha zamani tena chenye fan base ya wazee wengi zaidi then kujifanya unakijua kuliko waasisi wake na kutufundisha wakubwa zako siasa.

Mimi ajenda zangu ni maoni yangu binafsi na ni matokeo ya kujifunza na kutengeneza hoja zangu sina influence ya kufuata mkumbo kama wewe hadi unajibrand jina la mama Dully kama mama yako mzazi vile.
Wewe unajua umri wangu hadi useme mimi ni mtoto wa juzi? Wakati Katibu mkuu wa CCM akiwa hayati Horace Kolimba wewe ulikuwa wapi? Siku hizi kina dada wanakuwa na nguvu kwa sababu ya wajinga kama wewe usiyejiamini mbele ya mwanamke.
 
Du? Watu wamechanganyikiwa wanafanya shetani anabaki anashangaa
 
Wewe unajua umri wangu hadi useme mimi ni mtoto wa juzi? Wakati Katibu mkuu wa CCM akiwa hayati Horace Kolimba wewe ulikuwa wapi? Siku hizi kina dada wanakuwa na nguvu kwa sababu ya wajinga kama wewe usiyejiamini mbele ya mwanamke.
Wadada wameingiaje hapa,waache na nguvu zao mimi zinanihusu nini.
Umri wako naweza unusa kutokana na hoja zako namna unaongea. Si unaona hata uchawa namna unafanya ni wa madogo wajuzi.
 
inasikitisha sana mtu unampenda asie dini yako wakati watu wa kuoa walio katika dini yako wamejaa tele
 
😂😂😂 Hadi nimejimwagia kahawa hapa labubu mkubwa wewe.

Lakini Jadda mbona kagomvi? Me nimeongelea u'simp sijasema mwanamke ana makosa. Mwanamke amesimamia imani yake pengine ni malezi mazuri tokea kwa baba yake na kutii amri ya baba yake kuwa asiolewe nje ya imani yake.

Kijana kapindisha mifumo ili kuaccomodate mahitaji ya mwanamke hatimae ime backfire kwake.

Usimp sio dili.
Kuaccomodate mahitaji ya mwanamke how? Yeye mwanaume hakuwa na mahitaji yoyote kutoka kwa mwanamke wake?
 
Kuaccomodate mahitaji ya mwanamke how? Yeye mwanaume hakuwa na mahitaji yoyote kutoka kwa mwanamke wake?
Haujanipata vema.

Nimesema inawezekana kwamba mwanaume alijipendekeza kwa mwanamke na kuanza kumpatia vitu /mahitaji yake huyo mwanamke kwa matarajio kuwa atakuwa mkewe ingawa aliona wana imani tofauti.

Matokeo yake ni deni ambalo mwanamke hakuwa tayari kulipia na ndipo mwanaume akajipa mamlaka ya kumtoa haki kwasababu anaamini anam'miliki na anataka amuweke chini ya himaya yake.
 
Kwa sababu jambo kama hili ni nadra sana kufanywa na Wagalatia,
Hata hivyo hiyo story inasemwa alinyongwa baada ya kutaka kuondoka, kwa hiyo ugomvi ulianzia kwenye dini ukazua mambo mengine.
Fala kama huyu anafamilia
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ndio maana wahuni wanakula nchi, wengi mnaonekana kua kimya kwakua aliefanya ni Mkirisho, try to be rational.
 
Ndio maana natakiwa nikazane sana kutoa elimu ya usimp maana wengi hamuwafahamu vema masimp.

Kesi nyingi za mauwaji ya wanawake katika mahusiano utakutana na mwanaume ambaye aliona hawezi kutana wala kupata mwanamke mwingine nje ya huyo aliye nae.

Sifa mojawapo ya simp ni kufosi mahusiano kwa gharama yake ya hali na mali. Atakapokuja kuona gharama amelipia kubwa sana na mwanamke bado hamkubali ndipo anakuwa ameshapata knowledge kuwa usimp haulipi.

Maumivu ya kupata huo ufahamu sasa ndio aidha atajiua kwa hasira na huzuni, ataua mwanaume mwenzake ambaye anapendwa kushinda yeye,au atamuua huyo mwanamke sio kwasababu anamchukia au anachukia wanawake (misogyny) ila ni kwasababu hataki mwanaume mwingine apate nafasi ya kuwa na huyo mwanamke maana wivu utamuua.

Mtu misogynistic anaweza kuwa anapendwa na wanawake vizuri tu ila tu yeye hawapendi kwasababu anachukia uwepo wa jinsia ya kike katika maisha yake na anaiona kama tatizo ama changamoto katika shughuli zake.
Sasa katika scenario kama hii ya kwenye mada utasemaje huyo mwanaume ni simp wakati hakuna mahali alipoonesha alimpenda sana huyo mwanamke na kwamba asingeweza kuishi bila yeye, sana sana anaonekana ni mwanaume ambaye anataka mwanamke ndio afuate matakwa yake na kilichotokea hapo ni matokeo ya hasira za kuona kama mwanamke wake hajamheshimu, kwani hujui kama alpha males wakati mwingine wanafanya hayo matukio siyo kwamba walipenda sana bali ni kwa sababu wanahisi kama wamedharauliwa na kushushwa hadhi na wanawake wao kitu ambacho hawataki
 
Wadada wameingiaje hapa,waache na nguvu zao mimi zinanihusu nini.
Umri wako naweza unusa kutokana na hoja zako namna unaongea. Si unaona hata uchawa namna unafanya ni wa madogo wajuzi.
Endelea na hizo pigo za kina mama wanaopigania haki toka kwa wanaume. Huna tofauti nao kwa sababu wote nyie mnamshambulia mwanaume.
 
Back
Top Bottom