Dar: Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake aliyegoma kubadili dini

Huyo jamaa ni feminist wa kiume. Utabishana nae na kupoteza tu muda. Mada zake nyingi ni za kushambulia wanaume kwa kivuli cha Simp. Kimsingi Zemanda ni mwanamke katika umbo la kiume.
Hapana huyo siyo feminist maana huwa hashambulii wanaume masimp tu bali hata wanawake, tena wanawake ndio anawaponda haswa na huko kuwashambulia masimp ni kwa sababu anaona kama wanawaendekeza wanawake, yani kwake hata wanawake kupumua tu ni kosa he is simply a misogynist in denial
 
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu.

Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na ugomvi mdogo katika ndoa yake kwani alitaka mkewe abadilishe dini na kuwa Mkristo lakini mkewe hakukubali.

Upande wa mashitaka ulieleza Mahakama kuwa tukio hilo lilitokea Julai 24, 2023 wakiwa nyumbani kwao eneo la Kitunda Mzinga ambapo wakiwa chumbani ugomvi baina yao ulitokea (Nuru) akitaka kwenda kwao.

Ilielezwa kuwa Abel alikutwa chumbani kwao huku mkewe marehemu akiwa amefariki dunia akiwa amelala kitandani na chini ya kitanda hicho kulikuwa na kamba ya kiatu iliyoelezwa kutumika kumnyongea hadi kufa.

Kwa mujibu wa upande wa mashitaka, mshtakiwa alifanya hivyo ikiwa ni njia ya kumzuia marehemu asitoke nje ya nyumba hiyo na baada ya kutekeleza kitendo hicho alipiga kelele kuomba msaada, kwani hakuwa na funguo za mndani, tukio liliripotiwa kwa mwenyekiti wa mtaa huo ambaye pia alitoa taarifa polisi na Abel kupelekwa Kituo cha Polisi cha Stakishari
Abel kabla ya kunyongwa angetolewa kwanza bikra
 
Niliposoma kichwa cha habari nikajua "KUBAZI MMOJA" kumbe "MGALATIA".... Panaanza kuchangamka 😀😀
 
Hapana huyo siyo feminist maana huwa hashambulii wanaume masimp tu bali hata wanawake, tena wanawake ndio anawaponda haswa na huko kuwashambulia masimp ni kwa sababu anaona kama wanawaendekeza wanawake, yani kwake hata wanawake kupumua tu ni kosa he is simply a misogynist in denial
Akipata msaada wa matibabu ya akili atakuwa sawa. Huenda kuna mtu alimchukulia mwanamke wake ndo maana ana hasira balaa.
 
Sasa katika scenario kama hii ya kwenye mada utasemaje huyo mwanaume ni simp wakati hakuna mahali alipoonesha alimpenda sana huyo mwanamke na kwamba asingeweza kuishi bila yeye, sana sana anaonekana ni mwanaume ambaye anataka mwanamke ndio afuate matakwa yake na kilichotokea hapo ni matokeo ya hasira za kuona kama mwanamke wake hajamheshimu, kwani hujui kama alpha males wakati mwingine wanafanya hayo matukio siyo kwamba walipenda sana bali ni kwa sababu wanahisi kama wamedharauliwa na kushushwa hadhi na wanawake wao kitu ambacho hawataki
Narudia tena, itabidi nikazane sana kutoa elimu kuhusu masimp ili ufahamu uongezeke.

kama utakuwa familiar na kitu kinaitwa "Obsessive compulsive disorder" then rejea viashiria au characteristics zake especially eneo la mahusiano.

Unapozungumzia simp unamuongelea mwanaume mwenye obsession na mwanamke anayemtaka na anakuwa kama mwehu kwasababu ya kumtaka huyo mwanamke.

Obsessive compulsive disorder ipo common kwa simps pia especially ambao wapo violent (katafute movie inatiwa "Perfect guy" unatapa idea ya aina ya simps ambao ni violent.

Huyu alikuwa ni Simp,na kama utapitia characteristics za mtu mwenye obsessive compulsive disorder utagundua miongoni ni kutaka constant assurance kutoka kwa mwanamke.

Inaweza kwa kutaka mwanamke afanye mambo magumu kwaajiri yake kama kubadili dini ili tu yeye apate assurance ya kuwa mwanamke anampenda na yupo tayari kwa lolote kwaajiri yake.

Sijajua unawafahamu masimp kwa upana upi ila zipo common traits ambazo mwanaume akifanya tu unajua huyu ni simp.

Huyo jamaa ni simp. Masimp huwa wapo tayari kuua mwanaume anayeshindana nae kwa mwanamke au kujiua na hata kuua mwanamke mwenyewe ikibidi kama akiona ameshasota sana na yupo very deep hawezi kumuacha unashangaa ghafla anabadilika kutoka caring and sweet na kuwa violent and very controlling ( sociopath).
 
Akipata msaada wa matibabu ya akili atakuwa sawa. Huenda kuna mtu alimchukulia mwanamke wake ndo maana ana hasira balaa.
😂😂😂 Nina wewe tu nakwambia hadi unyooke simp nambari moja la JF na lazima nikugeuze study case ya usimp hapa JF.

Wewe unakuwaje simp nyakati hizi, bogus kabisa.

images (1)_19539842319933.png
 
Hakuna neno la kiswahili fasaha? Simp, simp what the heck is that
 
inasikitisha sana mtu unampenda asie dini yako wakati watu wa kuoa walio katika dini yako wamejaa tele
Upendo hauangalii dini wala chochote... utakuta mtu hana akili kabisa halafu nyumbu la ufipa ila kuna mtu kampenda hivyohivyo.
 
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu.

Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na ugomvi mdogo katika ndoa yake kwani alitaka mkewe abadilishe dini na kuwa Mkristo lakini mkewe hakukubali.

Upande wa mashitaka ulieleza Mahakama kuwa tukio hilo lilitokea Julai 24, 2023 wakiwa nyumbani kwao eneo la Kitunda Mzinga ambapo wakiwa chumbani ugomvi baina yao ulitokea (Nuru) akitaka kwenda kwao.

Ilielezwa kuwa Abel alikutwa chumbani kwao huku mkewe marehemu akiwa amefariki dunia akiwa amelala kitandani na chini ya kitanda hicho kulikuwa na kamba ya kiatu iliyoelezwa kutumika kumnyongea hadi kufa.

Kwa mujibu wa upande wa mashitaka, mshtakiwa alifanya hivyo ikiwa ni njia ya kumzuia marehemu asitoke nje ya nyumba hiyo na baada ya kutekeleza kitendo hicho alipiga kelele kuomba msaada, kwani hakuwa na funguo za mndani, tukio liliripotiwa kwa mwenyekiti wa mtaa huo ambaye pia alitoa taarifa polisi na Abel kupelekwa Kituo cha Polisi cha Stakishari
Poor man
 
Narudia tena, itabidi nikazane sana kutoa elimu kuhusu masimp ili ufahamu uongezeke.

kama utakuwa familiar na kitu kinaitwa "Obsessive compulsive disorder" then rejea viashiria au characteristics zake especially eneo la mahusiano.

Unapozungumzia simp unamuongelea mwanaume mwenye obsession na mwanamke anayemtaka na anakuwa kama mwehu kwasababu ya kumtaka huyo mwanamke.

Obsessive compulsive disorder ipo common kwa simps pia especially ambao wapo violent (katafute movie inatiwa "Perfect guy" unatapa idea ya aina ya simps ambao ni violent.

Huyu alikuwa ni Simp,na kama utapitia characteristics za mtu mwenye obsessive compulsive disorder utagundua miongoni ni kutaka constant assurance kutoka kwa mwanamke.

Inaweza kwa kutaka mwanamke afanye mambo magumu kwaajiri yake kama kubadili dini ili tu yeye apate assurance ya kuwa mwanamke anampenda na yupo tayari kwa lolote kwaajiri yake.

Sijajua unawafahamu masimp kwa upana upi ila zipo common traits ambazo mwanaume akifanya tu unajua huyu ni simp.

Huyo jamaa ni simp. Masimp huwa wapo tayari kuua mwanaume anayeshindana nae kwa mwanamke au kujiua na hata kuua mwanamke mwenyewe ikibidi kama akiona ameshasota sana na yupo very deep hawezi kumuacha unashangaa ghafla anabadilika kutoka caring and sweet na kuwa violent and very controlling ( sociopath).
Hata hao alpha males siyo kwamba hawafall in love nao huwa wanafall in love sana tu, sasa nao ikitokea wamepigwa matukio na hao wanawake waliofall in love nao huwa wanachukua hatua gani, au wewe unadhani alpha males ndio hawapigwi matukio na hawaumii au unadhani wakipigwa matukio wote huwa wanaacha kirahisi tu
 
Unakuwaje alpha then upigwe tukio how is that even possible in the first place?🤔
 
Hii ni shida ya afya ya akili hakuna lingine.
Leo tu nimesikia matukio matano ya ukatili kwa kisingizio cha wivu wa mapenzi
 
Unakuwaje alpha then upigwe tukio how is that even possible in the first place?🤔
Si unaona sasa ndio maana nakuambia wewe huwa hufuatilii uhalisia bali unaandika mawazo yako tu, wewe unadhani kwamba ukishakuwa alpha male basi huwezi kufall in love au kuumizwa na mapenzi, au unadhani ukiwa alpha male automatically unaweza kumhandle mwanamke kiasi hawezi kufurukuta kwako ndivyo mnavyodanganyana kila siku
 
Point yangu ni kuwa haufahamu maana ya neno alpha na matumizi yake. 😂

Nimekuuliza hapo anakuwaje alpha halafu achezewe hisia,pengine haujui maana halisi ya neno alpha.

Ni sawa na kusema " Jadda ni feminist na ni mnyenyekevu sana kwa mume wake" 😂😂😂 feminist wa kisasa na submission kwa mume wapi na wapi?

Alpha na kuchezewa hisia hadi kuumia wapi na wapi?😂

Alpha by trait kumove on ni before wewe haujajua kama amejua kuwa umemzingua. By the moment wewe kama mwanamke umejua kuwa amekustukia kuwa unamchezea michezo ya hisia yeye tayari alishakukata zamani alikuacha uchezee mchezo wako mwenyewe.

Ndio maana nikakuuliza unajua maana ya neno alpha na traits zake?🤔

Ni sawa na kusema kiuongozi mzalendo halafu awe ni mla rushwa. Sasa anakuwaje mzalendo kama ni mla rushwa in the first place?

Go and re-learn the Alpha concept.
 
Duuh kwa hii definition yako ya alpha male basi itoshe kusema hakuna alpha male duniani, ndio maana nasisitiza wewe una dunia yako peke yako ambayo umeiumba kichwani mwako kiufupi unapishana na uhalisia, halafu pia jifunze kutofautisha kati ya alpha male na misogynist hizi ni characters mbili tofauti japo mwanaume mmoja anaweza kuwa nazo zote
 
Misogynistic men are few compared to the fast growing number of misogynistic females (feminist).

Sasa unanibishia kuhusu alpha male have you ever been in a relationship with a woman before to understand what a man goes through and his reaction?

Kuwa alpha male maana yake kufit profile ya traits za alpha na kumantain status hiyo all the time.

Mfano wewe nikikuwekea one bilion kwenye account saa hii, tayari unakuwa ni millionaire automatically sababu in your possession you have multiple millions. Ila ukizitumia vibaya zikaisha nini kitakuwa sababu ya kukuita millionaire na hauna tena pesa?🤔

Sasa mwanaume ambaye anajiita au kujionyesha ni alpha halafu akafeli kucontrol hisia zake kwa mwanamke how is he calling himself an alpha if he even fails to lead himself logically and became emotional 😭 vulnerable kwa mwanamke ambaye simply tu angetemana nae na kutafuta mwingine without showing any emotional attachment nae.

Do you know the meaning of being an alpha male?
 
Ingekuwa huyo Mume ni Muislam aliyemlazimisha Mkewe Mkristo asilimu basi ungeona Makiristo humu wakifoka foka kama uji jikoni
ndio maana unaona wote tunamlaumu jamaa,maana hizo ni tabia za kiislam kabisa.

kademu kamegoma kubadili dini kukufata unafikiri utakaweza tena hako!!!
 
Back
Top Bottom