Dar: Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake aliyegoma kubadili dini

Dar: Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake aliyegoma kubadili dini

Kwamba ushawahi kusikia kuna Muislam kamuua asiye Muislam kwa sababu asiye Muislam kakataa kusilimu ili amuoe?

Halafu wanaofanya mauaji haya mnayoyaita ya "wivu wa mapenzi" wengi huwa ni Waislam au wasio Waislam?

Hebu usituchefue aisee.
mhh sio ndoa tu,waislam wanaua watu kisa kutosilimu tu,wachia mbali ili wawaoe.

haijalishi ni kwa jambo gani,kuua ni ugaidi,huyu alikuwa muislam kabisa sema alikuwa anasali kanisani.
 
Kugombana na kuuwana kisa issue ya kidini ni upuuzi mkubwa
 
Naamini kuna siku dini zote zitafutwa hapa duniani sababu ndo chanzo cha uovu!
 
ndio maana unaona wote tunamlaumu jamaa,maana hizo ni tabia za kiislam kabisa.

kademu kamegoma kubadili dini kukufata unafikiri utakaweza tena hako!!!
Kwahiyo huyo jamaa ni Muislam?
 
Misogynistic men are few compared to the fast growing number of misogynistic females (feminist).

Sasa unanibishia kuhusu alpha male have you ever been in a relationship with a woman before to understand what a man goes through and his reaction?

Kuwa alpha male maana yake kufit profile ya traits za alpha na kumantain status hiyo all the time.

Mfano wewe nikikuwekea one bilion kwenye account saa hii, tayari unakuwa ni millionaire automatically sababu in your possession you have multiple millions. Ila ukizitumia vibaya zikaisha nini kitakuwa sababu ya kukuita millionaire na hauna tena pesa?🤔

Sasa mwanaume ambaye anajiita au kujionyesha ni alpha halafu akafeli kucontrol hisia zake kwa mwanamke how is he calling himself an alpha if he even fails to lead himself logically and became emotional 😭 vulnerable kwa mwanamke ambaye simply tu angetemana nae na kutafuta mwingine without showing any emotional attachment nae.

Do you know the meaning of being an alpha male?
Ujue siyo kwamba hao alpha males labda wanaishi sayari nyingine au wapi bali tunaishi nao humu humu kwenye jamii zetu na tunakutana nao kila siku wengine ni kaka zetu na wengine ni marafiki zetu, alpha male anaweza asiendekeze wanawake lakini akipata yule mwanamke mmoja mwenye vigezo vyote anavyovitaka anaanza kuwa comfortable na kumpenda na shida itakuja tu pale huyo mwanamke atakapobadilika baadhi hutoa talaka na wengine hupiga au kuua kabisa, alpha males siyo kwamba hawawezi kufall in love kabisa bali ili wapende ni hadi huyo mwanamke akubali kufuata matakwa yake yani wao wanapenda kwa masharti tofauti na beta males mnaowaita simps ambao wao wanapenda tu unconditionally bila kujali sifa za huyo mwanamke, ndio maana nikasema wewe usije kuwa unachanganya alpha males na misogynists yani misogynist ni mwanaume ambaye anachukia wanawake yani yeye hawezi kufall in love na mwanamke, hata huyo mwanamke amfanyie nini ni anakuwa na moyo wa chuma na misogyny siyo natural trait bali huwa wanatengenezwa kulingana na trauma walizopitia sasa wewe unadhani sijui kuwa alpha male maana yake ndio unakuwa emotionless kabisa haya ni mawazo ya wapi
 
Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu.

Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na ugomvi mdogo katika ndoa yake kwani alitaka mkewe abadilishe dini na kuwa Mkristo lakini mkewe hakukubali.

Upande wa mashitaka ulieleza Mahakama kuwa tukio hilo lilitokea Julai 24, 2023 wakiwa nyumbani kwao eneo la Kitunda Mzinga ambapo wakiwa chumbani ugomvi baina yao ulitokea (Nuru) akitaka kwenda kwao.

Ilielezwa kuwa Abel alikutwa chumbani kwao huku mkewe marehemu akiwa amefariki dunia akiwa amelala kitandani na chini ya kitanda hicho kulikuwa na kamba ya kiatu iliyoelezwa kutumika kumnyongea hadi kufa.

Kwa mujibu wa upande wa mashitaka, mshtakiwa alifanya hivyo ikiwa ni njia ya kumzuia marehemu asitoke nje ya nyumba hiyo na baada ya kutekeleza kitendo hicho alipiga kelele kuomba msaada, kwani hakuwa na funguo za mndani, tukio liliripotiwa kwa mwenyekiti wa mtaa huo ambaye pia alitoa taarifa polisi na Abel kupelekwa Kituo cha Polisi cha Stakishari

In shaa Allah haitatokea mtoto wangu kuowa au kuolewa na KAFIRI

Kuna waislamu sijui kutokuijua dini yani yupo tayari kuolewa na asiekua muislamu wakati waislamu wapo,

Ndugu zangu waislamu wa tanzania na wale mliopo nje ya nchi ambao mnashughulishwa na dunia, tusomeni dini, tuijue dini, na sio kufuata maadili nje ya uislamu.

Palestine 🇵🇸 will be free
 
Ujue siyo kwamba hao alpha males labda wanaishi sayari nyingine au wapi bali tunaishi nao humu humu kwenye jamii zetu na tunakutana nao kila siku wengine ni kaka zetu na wengine ni marafiki zetu, alpha male anaweza asiendekeze wanawake lakini akipata yule mwanamke mmoja mwenye vigezo vyote anavyovitaka anaanza kuwa comfortable na kumpenda na shida itakuja tu pale huyo mwanamke atakapobadilika baadhi hutoa talaka na wengine hupiga au kuua kabisa, alpha males siyo kwamba hawawezi kufall in love kabisa bali ili wapende ni hadi huyo mwanamke akubali kufuata matakwa yake yani wao wanapenda kwa masharti tofauti na beta males mnaowaita simps ambao wao wanapenda tu unconditionally bila kujali sifa za huyo mwanamke, ndio maana nikasema wewe usije kuwa unachanganya alpha males na misogynists yani misogynist ni mwanaume ambaye anachukia wanawake yani yeye hawezi kufall in love na mwanamke, hata huyo mwanamke amfanyie nini ni anakuwa na moyo wa chuma na misogyny siyo natural trait bali huwa wanatengenezwa kulingana na trauma walizopitia sasa wewe unadhani sijui kuwa alpha male maana yake ndio unakuwa emotionless kabisa haya ni mawazo ya wapi
Kukuelekeza ni kazi sana. Ngoja nikupe mfano halafu tuone uwezo wako wa kutumia na kuconnect logic upo kiwango gani.

So mfano wewe una rafiki yako wa kushibana tokea utotoni. Mlizaliwa hospital moja, mkasoma pamoja kutokea vidudu, primary, secondary,hadi chuo, mnasaidiana kwa kila jambo na mpo karibu sana.

Ila baadae rafiki yako anashindwa kufanikiwa kupata mahusiano serious ya ndoa na anashindwa kupata mtoto.

Kinyume na yeye,wewe umefanikiwa kuolewa na kupata mtoto you have a happy family na unaumia kuona rafiki yako hajafanikiwa eneo hilo.

Then ikatokea rafiki yako huyo akaamua kwa usiri sana kufanya ujanja wa kitembea na mume wako mara kadhaa na kufanikiwa kupata ujauzito.

Eventually ukajaa kujua huo ukweli.

Niambie kitu kimoja, usinipe maelezo marefu kama ahadi za CCM kwa watanganyika.

Je, huyo rafiki yako,ndani ya moyo wako na mtima wako utaendelea kumchukulia ni rafiki kwa kusamehe kilichotokea na kuheshimu miaka yote ya urafiki wenu au urafiki wenu ndio utakuwa umefika tamati?

Ukijibu hili swali direct bila maelezo mengi utaweza kujifunza kitu kuhusu logic.
 
Sasa kama unatoa mifano irrelevant unataka nijibu tu kama unavyotaka maana kwako wewe mfano wowote unaweza kufit popote na unatumia njia hiyo kulazimisha mawazo yako ndio yawe uhalisia, hilo jibu unalotaka nikupe litakuwa langu binafsi na si la kila mwanamke aliyekutwa na jambo hilo na vipi nikikupa jibu ambalo hukulitarajia je hiyo logic yako inapotea au, wewe nenda kwenye hoja moja kwa moja achana na mifano ambayo majibu yake ni subjective ilihali hoja tunayojadili ni objective hebu jaribu kusoma hayo maelezo toka kwa watu waliofanya tafiti halafu jielimishe tena

Screenshot_20250925_111304_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom