DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!



Mkuu na maovu yanayofanyika kwenye box la kura ili ccm ishinde tutakuona ukikemea pia?
 
Huyu bwana Akram ni kada na mdogo wake aliyekuwa mbunge kipenzi wa CCM, kwa taarifa yenu CCM ndio ujangili wenyewe na ujangili ni CCM.
Kama kuna mtu ana uwezo wa kusimama kututajia majangili wawili 2 wakubwa ambao sio CCM asimame ahesabiwe.
Kuna mbunge wa Mbalali na familia yake wanatuhumiwa kwa ujangali na anaweza kukamatwa tu siku atakapo acha kuunga mkono.
 
Hii siyo stori ya Musiba kweli hii?
 
Swali lako ni zuri, ni serikali yenyewe ndio inatowa vibali vya uwindaji wa wanyama, Simba, tembo, chui, nyati na wanyama wengine.
Nani amekataa kuwa srikali ndo inatoa je una uhakika serikali imempa kibali Cha kuwinda utitiri wa hao wanyama hapo.
 
Kungekuwa na jangili ambaye ni upinzani longtime angeshadakwa. Na wenyewe si wanatambuwa hilo?Ndiyo maana hata siku moja siwezi kukubali kuwa sapota wa ccm, kwasababu hawana nia njema na hii nchi. NEVER EVER!

Uchafu wote, ufisadi, ujangili, vyote viko chini ya chama tawala na ndiyo maana ni vigumu kuyamaliza. Ingekuwa siyo ccm, basi ingekuwa rahisi sana kwao kushghulikia.

Sasa Maghufuli na yeye anajifanya eti ni wa tofauti, wapi bhana chama ni kile kile na mambo ni yale yale?
 
Mpaka sasa tunakamata waliopenya na kwenda kuiba lakini tunawaacha walioruhusu nakuachia njia watu waende wakaibe, halafu unasema unapambana na Ufisadi wakati hao watu bado wana kadi za chama na wako uraiani.
+1

Huwezi kutatua tatizo , kwa kuangalia matokeo ya tatizo bila kujua chanzo cha tatizo, bado chimbuko la ufisadi wote tunaoujua halijaguswa na sidhan kama litakuja kuguswa.
 
Kale kausemi wataishi kama masheteni Rostam alikakimbia alijua watapata tabu sanaaa wacha tumnase kwa mlango WA nyuma maana serikali ina mkono mrefu ukikosa kukuteka unakutaja Muuza Unga ukikimbia list ya Unga unahujumu uchumi mradi lazima tugawane gawio lako au maduhuli yetu tuchukue wenyewe.new movie has been started.
 
Hata kuandika siku hizi huwezi unavizia kuingia Jf
umeona mkuu?Kawa kiumbe wa hovyo sana! You don't need a brain once a ccm member. Huo ni ukweli. Siku hizi hata hana hoja ya kuandika, hakuna thread anaanzisha ya maana. Sasa sijui alikuwa na yeye ni mtu wa kupinga tuu?

Kiukweli, labda mambo yamebadilika kwake na yako fresh especially usawa wa tumbo. Zaid labda ni msukuma.
 
Jealous tuu na roho mbaya zimemjaa as if yeye ni msafi kama mtoto wa Jana...nchi inazid kuwa dumber hii...kwa chuki zisizo na faida kwa taifa..kesi haina mashiko hata kidogo hiyoo...uwongo mtupu
 
Alijibu Sumaye, Yale yalikuwa maamuzi ya baraza la mawaziri wakiongozwa na Mzee Nkapa
Lakini ndio UFISADI (kleptocracy) wenyewe huo. Sisi hoja yetu ni kwamba kama kweli Mhe JPM anapigana vita dhidi ya ufisadi kwa dhati (na sio kwa chati) na kufukua makaburi ya ufisdai, basi na hilo kaburi asiliache kando bila kujali ni nani na nani walishiriki (awe Nkapa, Sumaye, na kiranja aliyepewa kazi ya kusimamia utekelezaji). Vinginevyo tutaendelea kuona futuyis at work!!
 
Hizi deal za kuteka watu mara kuvamiwa na polisi, mara kupiga risasi etc zinaeleza wazi nini serikali inafanya. Kiufupi ni kwamba ndani ya miaka kadhaa watu wenye pesa wataihama nchi na itabaki tupu na washangiliaji wasio na pesa wala mbinu za kazi. Hata tajiri awe mwizi aje, ni lazma serikali ideal nae kwa hekma sbbu huyo tajiri kaajili wananchi. Ukisha mfunga au mfukuza tajiri utapata nini? Ni bora ue na tajiri mwizi na umwambie aache wizi kuliko kutokua kabisa na tajiri. Huwezi pata tajiri wa ghafla kumbadili huyo ulie muandama. Mwisho wa maneno wataipata wananchi.

Viongozi wa Tanzania wanatikiwa wasafirishwe nje wafunguke vichwa na kuweza kuona vp dunia inaenda. Mimi ningekua naweza mashauri rais basi ningemwambia azidi awe mkali ila tu awa contain matajiri kwa njia za kisiasa zaidi bila nguvu.

Rais anawashauri wabaya hatari na inatakiwa awatumbue hao washauri wake kwanza. Mimi naimani raisi anania nzuri ila anawatu wabovu. Na hakuna mtu anasupport wavunja sheria ila chuki haina manufaa. Hizi kwa binafsi naziona kama mbinu za kukusanya mapato nyuma ya sheria kupitia matajiri wasafi na wasio wasafi.

Na nyie wananchi mnao shangilia pumba, kueni na busara na mjitahadi kujielimisha. Msiwe manshangilia tu vitu bila facts sbbu ya kuchukia mtu sbbu tu unamchukia wala hamna cha maana.




 

Wamemtandika Money Laundering, haina dhamana. Haka kamchezo kwenye ofisi ya DPP ndiyo wamekagundua. Wanakutandika unakaa maabusu miaka 3 ukisubiri uchunguzi uendeleee, huoni wakina Kitilya, Rugemalira na Seth ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…