Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo huwa nakuwa upande wa JPM wa kuwanyoosha mafisadi
Tatizo wewe ni mjinga na hujijui kama ni mjinga, siyo kila muwindaji ni jangili, hizo kampuni zimesajiliwa kisheria na wanawinda kisheria na hata tembo wanauwawa kisheria.Tuacheni kutetea maovu , mtu anakamtwa na meno ya Tembo tena vizibiti vipo tunasema ameonewa eti kwa kuwa ni tajiri au kwa kuwa anapingana na serikali iliyopo madarkani, watanzania mbona tuko down sana kiasi hiki? kweli mtu kakamatwa na uwindaji haramu tuna sema serikali inanyanyasa matajiri? wangapi wamekamatwa Tanzania hii kwa uwindaji haramu na wako huko wanasubiri kesi zao? kama ameonewa mahakama ipo itatoa hukumu, lakini sio tuache kuchukua hatua pindi watu wanapokuwa na hatia, tunataka kujenga taifa la ajabu sana kisa eti tunataka huyo tajiri aliyekamatwa tumtetete hapa tumchonganishe na serikali ili akitoka basi aungane nasi katika vyama vyetu kisa tupate misaada ya ufadhili, siasa ni mbaya sana tukiicha iwe katika akiri zetu muda wote maana kila kitakachokuwa kinatokea hapa nchini baada ya kujadili in a facts way tunalichukulia ni suala lakutafutia wafuasi, lets the government do the work, kuna mahakama zitaamua, ndio maana mimi nasem serikali iliyopo itakuwa ngumu sana kuyatoa, maana yanazidi kupata uungwaji mkubwa wa watu na kujiweka katika mazingira mazuri kwa kipindi kijacho,wanacheza na agenda zao vizuri, rushwa, ujangili,madawa ya kulevya na kadhalika, sisi tunadharau lakini wenzetu ndo wanakimbia hivyo.
Kwa wana JF,
Natambua kuwa kuna threads 2 humu; ila taarifa ni kuwa Akram Aziz ambaye ni mdogo wa Mbunge wa zamani wa Igunga, Ndg. Rostam Aziz, ni kweli alikamatwa na Vyombo vya Dola na mchana huu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.
View attachment 917003
Kwa kuanzia, ana makosa takribani 75 ambayo anahusishwa nayo. Kuna utakatishaji fedha/uhujumu uchumi na kukutwa na nyara za serikali pia katika makosa hayo.
View attachment 917001
View attachment 917002
Kwa Taarifa za awali, Soma => Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali... - JamiiForums
Swali lako ni zuri, ni serikali yenyewe ndio inatowa vibali vya uwindaji wa wanyama, Simba, tembo, chui, nyati na wanyama wengine.Jamaa KWENYE uzi kuna sehem amesema huzo pembe anamiliki kihalali sijajua uhalali ni up
Tatizo wewe ni mjinga na hujijui kama ni mjinga, siyo kila muwindaji ni jangili, hizo kampuni zimesajiliwa kisheria na wanawinda kisheria na hata tembo wanauwawa kisheria.
Mpaka ujifunze tofauti ya jangili na Proffesional hunters ndio utaacha kuandika ujinga kama huu ulioandika hapa.
Mbona toka urudi ccm hakuna cha maana unaandka mkuu?Kule kwingine yuko salama..Kwa JPM anapigiwa mahesabu..akikanyaga Bongo tu ndanii
Waendesha mashtaka wetu wa Kibongo siajabu kosa moja limejirudia mara 15 kumbe pana makosa 5 tuKwa wana JF,
Natambua kuwa kuna threads 2 humu; ila taarifa ni kuwa Akram Aziz ambaye ni mdogo wa Mbunge wa zamani wa Igunga, Ndg. Rostam Aziz, ni kweli alikamatwa na Vyombo vya Dola na mchana huu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu.
View attachment 917003
Kwa kuanzia, ana makosa takribani 75 ambayo anahusishwa nayo. Kuna utakatishaji fedha/uhujumu uchumi na kukutwa na nyara za serikali pia katika makosa hayo.
View attachment 917001
View attachment 917002
Kwa Taarifa za awali, Soma => Akram Aziz adaiwa kukamatwa na nyara za Serikali... - JamiiForums
Tatizo wewe ni mjinga na hujijui kama ni mjinga, siyo kila muwindaji ni jangili, hizo kampuni zimesajiliwa kisheria na wanawinda kisheria na hata tembo wanauwawa kisheria.
Mpaka ujifunze tofauti ya jangili na Proffesional hunters ndio utaacha kuandika ujinga kama huu ulioandika hapa.
Kumbe upo?Ni ndugu was Rostam..I believe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106],wametupiga mno,Hapa ndipo huwa nakuwa upande wa JPM wa kuwanyoosha mafisadi
Kufanikiwa kwa dhulma!,shit!,zamu yao,machozi ya tembo,simba,faru yanaanza kulipaHUWEZI FANIKIWA KWA KUMCHUKIA ALIYEKWISHA KUFANIKIWA
Exactly!JPM Ni Kama Maji
Usipoyanywa Basi utachambia Au walau kuogea
[emoji106][emoji106][emoji106]Mimi na wewe hatuwezi mjuwa aliyefanikiwa, ni kujidanganya tu machoni na moyoni
NimekuelewaWatanzania tuamke!!! Mazingira haya yametengenezwa tu, kama taarifa ya mwanzo ilivyosema kua "askari wamemkamata akiwa na vibali sahihi, ila wakaamua kuondoka navyo vibali vyote original na kukataa kuacha copy ofisini kwake". Hapa kama kawaida, serekali inatuhamisha toka maswala fulani kutupeleka kwengine. Tumeshafanywa kama watoto wa chekechea sasa!!!
Watanzania lini tutapata akili jamani ya kuchanganua mambo na ukweli????? Tulishuhudia YUSUF MANJI alikamatwa na akafikishwa mahakamani kwa kukutwa na NYARA ZA SEREKALI, MIHURI YA JESHI, VITAMBAA VYA SARE ZA JESHI. Case iliishia wapi?????? Nani anaehoji mpaka sasa kuhusu hio tuhuma zake au case alizoshitakiwa nazo?????? Kama kweli angeachiwa huru????
Inasikitisha sana kuona mtu akitetea uonevu unaofanywa na askari kwa raia, na uongo tunaopewa raia na serekali yetu, kama huu na iliopita.
Na inasikitisha zaidi kuona wafanya biashara wakubwa wakionewa mpaka kufikia hatua wanafunga biashara zao na watanzania wenzetu kibao wanakosa ajira.
Dhulma tu,nawajua hawa jamaa kitambo sana ,wameua tembo ile mbaya pori la mpembambazi,simba ,chui,Kafanikiwa kwa njia gani?