Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mitanzania ni mijitu ya hovyo sana, watu wanarithishwa chuki za kishamba.Watu hawajui kutofautisha uwindaji na ujangili. Hawaelewi uwindaji ni biashara halali inayotambulika Serikalini.
Wanaaminishwa uwindaji ni ujangili.
Kenya wamesitisha utalii wa uwindaji wanafanya utalii wa picha tu expedetion.
Kenya mirungi ni halali bangi ni kosa, Canada wamehalalisha matumizi ya bangi unaruhusiwa kulima nyumbani kwako kwa matumizi binadamu.
Kamwe huwezi kuwa tajili kwa kumchukia tajilo, yajili akichukia ni maafa kwa nchi majobles watajaa kila kona.