DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!


Ni kweli usemayo.
 
Magazeti ya UK enzi za Kikwete, yaliwahi wataja Kinana,Mr Elephant na Rostam kuhusika na ujangili. Hakuna kinachoshangaza kumuona mdogo wake Rostam kwenye list ya watuhumiwa wa Ujangili.
Vitalu vya uwindaji hutolewa na vina limitation zake, Kibaya zaidi ndivyo vimekuwa vikitumika vibaya kufanya magendo ya pembe za ndovu na biashara ya kusafirisha wanyama.
Zitto kabwe aliwahi ongelea hili kwa undani Bungeni
 
 
Kaka hata kile alichokifanya Amber Rutty, wanafanya watu wengi sana.
Kosa kubwa alilofanya yeye ni kuonekana anafanya na kukamatwa, na hilo hilo ndo litamfunga kwa miaka 30.
Lumumba palijaa wezi, na kwa kiasi kikubwa wengi wameondolewa pale awamu hii.
 
Hii nguvu uliyotumia ungetumia kuwatetea mafukara wanaoiba kuku ili waondoe njaa mwishowe wanapigwa mvua za maisha kweli tungefika mbali.
 
Wewe kama unaamini Magufuri ni Rais atakayeleta maendeleo kwa 'wananchi' basi endelea kuota.
Ukija amka uta nitag.
 
Vipi kuhusu kinana na meli yake inayobeba meno ya tembo nae mtamfikisha lini kisutu?
Akifikishwa mtaongea tu kumtetea

Nyie ni watetezi wa mafisadi tokea lowasa aingie chadema ule uzalendo na chuki dhidi ya mafisadi ilipaa na Slaa yaani saivi kila fisadi atakaeguswa akae akijua ana 3000% support kutoka chadema

Eti ndio kumpinga JPM
 
Tena taarifa inasema wamemnyanganya original docs zote wakazingagania kuondoka nazo! Wanasheia wake wanasema kuna ill intention juu ya drama hii!
Utetezi wa uovu ndio ilani ya chadema
Ni rahisi kwenu kuamini hivyo kuliko kuamini kwamba ana hatia tena mtu mwenyewe alishawahi kukamatwa red-handed na unga lakini bado mnamtetea.

Lowasa alishawaloga
 
Huyu bwana ninasikia alitekwa akiwa in US$
 
Kwa hiyo hii ndio mara ya kwanza duniani mhalifu kukamatwa na vidhibiti?

Kuna watu mna akili finyu nyumbu
 
Utetezi wa uovu ndio ilani ya chadema
Ni rahisi kwenu kuamini hivyo kuliko kuamini kwamba ana hatia tena mtu mwenyewe alishawahi kukamatwa red-handed na unga lakini bado mnamtetea.

Lowasa alishawaloga
Rostam alipokuwa mfadhili mkuu wa chama.na “King maker” wanyama wetu wengi itakuwa waliumia
 
Awamu hii watu wanashinda lumande tu kwa kesi za uchochezi,utakatishaji fedha,kuhujumu uchumi nk ila sijawahi kusikia yupi kafungwa au mahakama iko busy sana?
 
Ni Tanzania pekee ambapo Mtu baada ya Kuikosoa Serikali anaaonekana anayo hatia, Sioni ajabu ata MAKONDA siku atakapoanza kumkosoa Baba yake atapelekwa kisutu na kupewa kesi ya vyeti Fake..

Kosa la Kufoji, Kuiba na kutumia bila ridhaa ya Mhusika.
 
Kuna kitu serikali inataka kutoka kwenye hii familia, wakisha kirudisha ndio mambo yatakua sawa. Mimi ninawasiwasi hii inahusiana na swala la Vodacom.
Mo alipotea tukaambiwa alitekwa wakati wenye za ndani wanasema amerudisha ardhi iliyo kuwa inatakiwa irudi serikalini.
 
Let the long hand of the Government do its job, more will come into light soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…