Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Watanzania Tumenyimwa elimu ya vitu vingi sana. Na ndio maana tumekuwa wapayukaji tu na washangiliaji kwa kila kinachotokea bila kujua uhalisia wake. Hiyo elimu inayohusu uwimdaji hatujui kitu. Tumekuwa wasemaji wa tusiyoyajua. Ni vyema ukipata jambo jipya kujifunza kwanza kabla ya kuropoka. Tuliropoka sana hapa pale Manji alipokamatwa kwa kutuhumiwa kukutwa na Nguo za jeshi kontena zima na mihuri. Bila kujiuliza hivi inawezekana vipi raia amiliki mihuri ya jeshi na kontena la Sare za jeshi? Ila kwa kuwa hatujiongezi na kutafakari kinakotokana na kunyimwa elimu tukatoa hukumu dhidi yake inayotokana na chuki leo hii Manji anaendelea kula bata sisi tunaendelea kusota.
Ni kweli usemayo.