DAR: Akram Aziz akamatwa, afikishwa Mahakama ya Kisutu. Ana makosa 75!

Nchi hii hakuna wakosoaji,kuna wazodoaji tu,mkosoaji huwa na mpango mbadala,hawa wanaomba mchana kutwa serikali ishindwe ni wakosoaji hao?
Fuatilia alichoongea shivji Leo ubadili mtazamo wako
 


Kaka mimi naona unamaliza wino tu kwa maelezo mengi. Nimesema nitakuona ukikemea mwenendo mwovu katika box la kura? Sasa naona umejizunguusha. Kwahiyo umeambiwa magu tu ndio anaweza kukemea wizi? Kwani yeye ni msafi wa kiwango hicho?
 
JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.

[TAFADHALI SOMA TERMS AND CONDITIONS: ZIMEUNGANISHWA]



huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....



ANGALIZO:

Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.



HATUA ZA KUFUATA:

1. Fungua akaunti mpya hapa:



https://secure.templerfx.com/login/sign_up/162585



2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.



3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok



4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:



NDB30JN42017



Then submit.



5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.



6. Kama huna MT4 ,download hapa:



MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play



Start Trading!!



Jisajili hapa upate bonus kirahisi



https://secure.templerfx.com/login/sign_up/162585



Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox

+255769095171
 
Leo hii jamaa zangu wamegeuza tena maneno. Kutoka mafisadi mpaka "waliofanikiwa".
 
Kaka mimi naona unamaliza wino tu kwa maelezo mengi. Nimesema nitakuona ukikemea mwenendo mwovu katika box la kura? Sasa naona umejizunguusha. Kwahiyo umeambiwa magu tu ndio anaweza kukemea wizi? Kwani yeye ni msafi wa kiwango hicho?

1. Maada ni kuzuia ujangili , suala liikija la mwenendo wa kura pia nitakemea.
2. Magu kwa kutumia Taasisi zilizopo (e.g Takururu/mahakama) na kwa usimamizi wa serikali yake anaweza kuzuia rushwa, kwa ufupi nakwenda vizuri.
 
Akifikishwa mtaongea tu kumtetea

Nyie ni watetezi wa mafisadi tokea lowasa aingie chadema ule uzalendo na chuki dhidi ya mafisadi ilipaa na Slaa yaani saivi kila fisadi atakaeguswa akae akijua ana 3000% support kutoka chadema

Eti ndio kumpinga JPM
Tatizo lenu majitu ya ccm mna ugua ugonjwa unaitwa chademaism yaani asitokee mtu akaukosoa utawala wa Jiwe ataitwa chadema.mnaiogopa sana chadema sijui kwanini.
 
Waache kufikiria Tanzania ni Shamba la bibi
 
Hili nalo neno
 
Wamemtandika Money Laundering, haina dhamana. Haka kamchezo kwenye ofisi ya DPP ndiyo wamekagundua. Wanakutandika unakaa maabusu miaka 3 ukisubiri uchunguzi uendeleee, huoni wakina Kitilya, Rugemalira na Seth ??
Je hao waote uliyewataja unaona wamesingiziwa au wanna stahili Hilo jina
 
Mimi namtaka Rostam Aziz mwenyewe akamatwe ana makosa mengi sana ya kifisadi. Jamaa kaichezea sana serikali ya awamu ya nne. Alikuwa anawanunua CCM na watendaji wa serikali kama njugu.
 
Naichukia hao Wahindi toka enzi za EPA na Richmond. Siwezi geuka kuwa mtetezi wao hata siku moja.

Hao ni watanzania wenye asili ya India...acha chuki. Hawa hawana tofauti na mafisadi wengine Wangoni, Wachaga, Wamakonde. Chukia vitendo vyao na sio rangi au asili yao. Acha ubaguzi, jielimishe. Utanzania sio rangi ya ngozi!
 
Hakuna Jiwe litasalia Juu ya jiwe lingine. Walituibia sana hao watu. Huu Ukoo wa Mafisadi.
 
ccm ya Magufuli ni ccm mpya kila siku anasema
CCm ni ile ile, ooo ni ile ile,
TOT ni wale wale, oooo ni wale wale.

Huu wimbo unapingana na hicho unachokisema. Au hamkuuimba huu nyinyi? Au mliuimba ila hamkujua maana yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…