zombi
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,618
- 1,338
Fuatilia alichoongea shivji Leo ubadili mtazamo wakoNchi hii hakuna wakosoaji,kuna wazodoaji tu,mkosoaji huwa na mpango mbadala,hawa wanaomba mchana kutwa serikali ishindwe ni wakosoaji hao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia alichoongea shivji Leo ubadili mtazamo wakoNchi hii hakuna wakosoaji,kuna wazodoaji tu,mkosoaji huwa na mpango mbadala,hawa wanaomba mchana kutwa serikali ishindwe ni wakosoaji hao?
Najua wine na whisky, konyagi unapimiwa kwa buku?Hujawahi Ona konyagi ya kupimwa
Ova
Naichukia hao Wahindi toka enzi za EPA na Richmond. Siwezi geuka kuwa mtetezi wao hata siku moja.
Kaka Tindo , maovu ni maovu tu tusisite kukemea ili tuwe na taifa la wawajibikaji, sichukii mtu wala chama Fulani ,lakini tafiti ndani na nje ya nchi zote zinaonyesha kuwa rushwa ni chanzo kinacho angamiza mataifa mengi ya Africa,rasilimali zilizopo Africa zinatumika isivyo halali ,kama mtu amepatikana anaweza jaribu kuzuia hili hata kwa asilimia chache bila kujali itikadi zetu kwa nini nisiinge mkono,mimi sikubaliani na ovu lolote bila kujali limefanywa na nani au na chama kipi, hivyo serikali ifanye kazi yake na kama mtu anaona hajatendewa kuna upande mwingine wa kutafuta haki.
Daaaa!!,ulimaanisha nini mkuu?,danga cheee![emoji106][emoji23]
Mkuu siku wakigundua kuwa hana makosa,usiache kuunga mkono mnyoosho wa mafisadi.Hapa ndipo huwa nakuwa upande wa JPM wa kuwanyoosha mafisadi
Kaka mimi naona unamaliza wino tu kwa maelezo mengi. Nimesema nitakuona ukikemea mwenendo mwovu katika box la kura? Sasa naona umejizunguusha. Kwahiyo umeambiwa magu tu ndio anaweza kukemea wizi? Kwani yeye ni msafi wa kiwango hicho?
Tatizo lenu majitu ya ccm mna ugua ugonjwa unaitwa chademaism yaani asitokee mtu akaukosoa utawala wa Jiwe ataitwa chadema.mnaiogopa sana chadema sijui kwanini.Akifikishwa mtaongea tu kumtetea
Nyie ni watetezi wa mafisadi tokea lowasa aingie chadema ule uzalendo na chuki dhidi ya mafisadi ilipaa na Slaa yaani saivi kila fisadi atakaeguswa akae akijua ana 3000% support kutoka chadema
Eti ndio kumpinga JPM
Hili nalo nenoWatanzania tuamke!!! Mazingira haya yametengenezwa tu, kama taarifa ya mwanzo ilivyosema kua "askari wamemkamata akiwa na vibali sahihi, ila wakaamua kuondoka navyo vibali vyote original na kukataa kuacha copy ofisini kwake". Hapa kama kawaida, serekali inatuhamisha toka maswala fulani kutupeleka kwengine. Tumeshafanywa kama watoto wa chekechea sasa!!!
Watanzania lini tutapata akili jamani ya kuchanganua mambo na ukweli????? Tulishuhudia YUSUF MANJI alikamatwa na akafikishwa mahakamani kwa kukutwa na NYARA ZA SEREKALI, MIHURI YA JESHI, VITAMBAA VYA SARE ZA JESHI. Case iliishia wapi?????? Nani anaehoji mpaka sasa kuhusu hio tuhuma zake au case alizoshitakiwa nazo?????? Kama kweli angeachiwa huru????
Inasikitisha sana kuona mtu akitetea uonevu unaofanywa na askari kwa raia, na uongo tunaopewa raia na serekali yetu, kama huu na iliopita.
Na inasikitisha zaidi kuona wafanya biashara wakubwa wakionewa mpaka kufikia hatua wanafunga biashara zao na watanzania wenzetu kibao wanakosa ajira.
Je hao waote uliyewataja unaona wamesingiziwa au wanna stahili Hilo jinaWamemtandika Money Laundering, haina dhamana. Haka kamchezo kwenye ofisi ya DPP ndiyo wamekagundua. Wanakutandika unakaa maabusu miaka 3 ukisubiri uchunguzi uendeleee, huoni wakina Kitilya, Rugemalira na Seth ??
Mimi siyo Mahakama.Je hao waote uliyewataja unaona wamesingiziwa au wanna stahili Hilo jina
Naichukia hao Wahindi toka enzi za EPA na Richmond. Siwezi geuka kuwa mtetezi wao hata siku moja.
CCm ni ile ile, ooo ni ile ile,ccm ya Magufuli ni ccm mpya kila siku anasema![]()
Wewe inaonekana ni mpambe wa hawa jamaa walionyooshwa