TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Hili ni la kwanza kabisa tatizo ukiwashinda nguvu wanakugeuzia kibao na utafunguliwa kesi ya kuzuia mamlaka kufanya kazi yake (kumbuka kesi ya Zakalia wa Tarime) na wakikudhiti ndio yanatokea kama haya ya Kibao;
tupo zaid 40m vs wao ambao hawafiki hata 15m , je wao na majengo yao mahakama watatuweza ?
 
Hii sio mara ya kwanza, Mbowe alikuwa na kesi ya ugaidi wa kulipua vituo
vya mafuta na ushahidi juu yake.

Ndio msingi wa kuwa gerezani mpaka huruma wa Samia kumtoa kabla ya kwenda mahakamani.

Akaja na 4r zake haya ndio malipo yao.
Kuna wakati Utumie Akili Ndugu yangu si Kila wakati tuwe na Mindset za kipuuzi namna hii..

Mimi ni CCM kabisa lakini haya Mambo siyasupport kabisa na Naliomba Jeshi la Polisi Lishughulikie haya mambo vinginevyo tutaanza kuishi kwa Kuogopana
 
Hii ni mbaya sana na ina impacts za hatari sana ,ni vile tu watu wanachukulia poa haya mambo , mtu anaweza kuwa na chuki binafsi na wewe na akaenda kuleta wahuni wakakuteka na kukumaliza kwa kujiita polisi au usalama ,hii ni loophole ambayo itatuangamiza sana
 
salary nitupie inbox andiko la huyodada (nimemjua bahati mbaya sikupata andiko hilo)
 
Hii ni hatari Magufuli ambaye ndiye utekaji huu ulifanyika sana kindi chake....huyu samia sijui anachukuliaje haya mambo
Hii ndio 4R za Samia za kurithi utekaji?

Dr. samia Mama yangu embu ona haya mambo kwa jicho la kibinadam
Kweli siasa ndio igharmu uhai wa mtu kwamba ndio adhabu anayostahili?

Tutakwenda kujibu nini kwa Allah?
Leo Magufuli yuko wapi?


Pumzika Kwa Amani Ally Kibao.
 
Kwa yanayoendelea humu nchini kwa sasa ni obviously hata mimi ninaweza tengeneza kikosi cha kuteka watu huku nijiita polisi au usalama , na hao watu naenda kuwafanyia blackmail , kuwang'oa viungo ,kuwaua au kudai ransom Kwa ndugu na jamaa ili huyo mtu aachiliwe .
Hii ni disaster ,hii tabia ilipamba moto kipindi cha awamu ya tano na huu ni mwendelezo ,subhuman species wanaongoza hili taifa
 
Yule waziri ,wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.
Tuweke mambo sawa, ili ukweli upatikanike. Tusianze kuacha vipande. Utekaji ulianza na JK, kwangu mimi mtu wa kwanza kutekwa alikuwa Ulimboka, alinyofolewa kucha na kukatwa vidole akatupwa msitu wa Mwanapandwe kule Bagamoyo. Kuanzia hapo walitekwa wengi. Je ni kikao kipi cha CCMau cha Serikali kilihalalisha haya mambo? Hapa ukweli utakuja kujulikana. Inaelekea ni mwendelezo wa mambo lakini muasisi wa haya mambo yupo, JKyupo, yule TISS wa JK yupo na IGP yupo, na Mkuu wa Majeshi. JK alinyamaza, JPM alinyamaza, huyu naye kanyamaza, ila vitendo vinakuwa vya kikatili zaidi. Inaelekea wanaofanya hivi wamepewa ridhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…