Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Wakikudaka haurudi ukirudi unarudi Maiti shauriyakoMama anaupiga umwingi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikudaka haurudi ukirudi unarudi Maiti shauriyakoMama anaupiga umwingi...
Kwa wenye akili, huu haukuwa wakati sahihi na sidhani kama alifanya kosa la kukikuka kiapo zaidi ya chuki tu za kisiasa.Biblia inaruhusu waliokula kiapo kuuawa, by Mzee wa Upako. Haijapita siku kadhaa kauawa mjeda mstaafu
tupo zaid 40m vs wao ambao hawafiki hata 15m , je wao na majengo yao mahakama watatuweza ?Hili ni la kwanza kabisa tatizo ukiwashinda nguvu wanakugeuzia kibao na utafunguliwa kesi ya kuzuia mamlaka kufanya kazi yake (kumbuka kesi ya Zakalia wa Tarime) na wakikudhiti ndio yanatokea kama haya ya Kibao;
Kuna wakati Utumie Akili Ndugu yangu si Kila wakati tuwe na Mindset za kipuuzi namna hii..Hii sio mara ya kwanza, Mbowe alikuwa na kesi ya ugaidi wa kulipua vituo
vya mafuta na ushahidi juu yake.
Ndio msingi wa kuwa gerezani mpaka huruma wa Samia kumtoa kabla ya kwenda mahakamani.
Akaja na 4r zake haya ndio malipo yao.
Hii ni mbaya sana na ina impacts za hatari sana ,ni vile tu watu wanachukulia poa haya mambo , mtu anaweza kuwa na chuki binafsi na wewe na akaenda kuleta wahuni wakakuteka na kukumaliza kwa kujiita polisi au usalama ,hii ni loophole ambayo itatuangamiza sanaKuna haja ya kubadili Sheria za umiliki wa silaha ili Kila mwananchi mwenye akili timamu atembee na silaha kama ilivyo marekani ili kupambana na Hawa askari.Mzee kama huyu ambaye Hana madhara yeyote kiusalama wamemuua!yaani kosa tu kuwa mpinzani ndiyo unauliwa?
RIP Ben Saanane na PhD ya JiweRIP Shujaa Magufuli
Mkuu usiogope bwana, asingekua hakibariki haya mauaji..kingefanya something....Wakikudaka haurudi ukirudi unarudi Maiti shauriyako
Nenda IG kwenye page ya lema kunakitu kapostSalary Slip kwani huyu baba waliyemuua alikuwa msemaji sana wa kuipinga serikali?
salary nitupie inbox andiko la huyodada (nimemjua bahati mbaya sikupata andiko hilo)Mods wacheni tutoe ushauri na tahadhari ili kama wana masiko, basi na wasikie.
Wiki kama mbili zilizopita, yule dada maarufu anaeshi nchini marekani, aliandika katika mtandao wa X makala ndefu ila yenye maneno makali na matusi mazito juu ya kiongozi fulani kiasi yanayoendelea hapa nchini.
Nilikuwa nasoma na kusisimka, ila kwa tukio hili la leo, siwezi kusisimka tena hata aandike nini.
Nimalizie kwa kusema , kwa haya yanayoendelea, huyu dada sitashangaa akaja na makala nyingine mbaya zaidi na akapata uungwaji mkono mkubwa zaidi.
Washauri, mna uhakiki hii itasaidia na zaid mnaona mnamsaidia Bosi wenu au ndio mnazidi kumuharibia?
Kwa nature ya binadamu, mimi naona matukio haya yatawafanya watu wawe majasili zaidi na sasa waone hawana tena cha kupoteza.
Mtambue kuwa, kadri wengi wanavyoumizwa, ndio wengi zaidi huona na wao sasa hawana cha kupoteza na wanazidi kujawa na hasira. Hivyo, hii mbinu mnayotumia, ni sawa na kumwaga petrol kwenye moto ulionza kuwaka.
Pia, kwa haya yanayoendelea, hata mkiomba serikali ya huko aliko imrudishe nchini, inaweza kumuona kama ni mtetezi wa watu badala ya mhalifu.
Anyway, Mungu ana makusudi na kila jambo.
IG ni nini? sorry usinione mshamba 😀 😀 😀 😀
Shida ni mama Samia...yes....Ina maana shida sio tume ya uchaguzi tena.
Tuweke mambo sawa, ili ukweli upatikanike. Tusianze kuacha vipande. Utekaji ulianza na JK, kwangu mimi mtu wa kwanza kutekwa alikuwa Ulimboka, alinyofolewa kucha na kukatwa vidole akatupwa msitu wa Mwanapandwe kule Bagamoyo. Kuanzia hapo walitekwa wengi. Je ni kikao kipi cha CCMau cha Serikali kilihalalisha haya mambo? Hapa ukweli utakuja kujulikana. Inaelekea ni mwendelezo wa mambo lakini muasisi wa haya mambo yupo, JKyupo, yule TISS wa JK yupo na IGP yupo, na Mkuu wa Majeshi. JK alinyamaza, JPM alinyamaza, huyu naye kanyamaza, ila vitendo vinakuwa vya kikatili zaidi. Inaelekea wanaofanya hivi wamepewa ridhaa.Yule waziri ,wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.