TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Kupitia kwa kifo cha huyu mzee, tunaweza kuujua ukweli fulani wa hawa watekaji...

Walimteka mchana, ndani ya basi (kampuni ya bus inayojulikana) akiwa kama abiria, tendo limeshuhudiwa na abiria wengine wote na waliofanya tendo hilo wamejitambulisha kama Mapolisi.....

Tunajiuliza, kampuni ya bus ya Tashriff nao ni sehemu ya mpango wa kuuwawa kwa huyu mzee.? Wanashirikiana na hili kundi la ujambazi/ugaidi wanaojitambulisha kama polisi? Bila shaka ni lazima Tashriff bus wawe sehemu ya uchunguzi wa tukio hili.....

Iweje polisi wakamate mtu halafu baadae aokotwe amekufa. Hii ndiyo kazi ya polisi..?
 
We are not safe leo tunasoma na kupata taarifa kwa wenzetu ila ipo siku tutashuhudia milangoni mwetu kama hadi maafisa wastaafu
wa jeshi jwtz nao wanaguswa hii ni hatari
 
Uchunguzi utafanyika kwa mujibu wa mtuhumiwa, tumeambiwa wameingia kwenye basi wakiwa na bunduki, wakajitambulisha kama sheria inavyotaka, wakasema wanamtaka mzee Mohamed, wakampiga pingu,wakaondoka naye, kisha kumuua na kumtupa ununio!! It looks exactly like a dog, walk like a dog and bark like a dog! Yes its a Dog!!
Mabasi ya kisasa yana camera, waliomteka wote wamerekodiwa, ni suala la polisi kuwataja baaasi
 
Jamaa waliomuua uyo father wanakaa kabisa baa na wanakunywa bia vzuri tu wakirud nyumban watt wao wanawapokea huku kashika kilo ya nyama mfukoni, weekend anatoka na watt wake wanenda kuenjoy kwenye michezo ya watotot kunduchi beach kwa raha kabisa. Its horrible.
 
Back
Top Bottom