ernest evans
New Member
- Aug 28, 2024
- 4
- 1
Aisee!Mungu Baba tenda haki🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama waliziwasha maana madareva ni hao hao darasa la saba!Mabasi ya kisasa yana camera, waliomteka wote wamerekodiwa, ni suala la polisi kuwataja baaasi
Nimeshatoka huko. Mama ameniudhi sanaWewe sio mmoja wa chawa wa mama?
Bashite toka arudi kwenye system,nchi imekuwa kama Rwanda enzi za N’terahamweUchunguzi utafanyika kwa mujibu wa mtuhumiwa, tumeambiwa wameingia kwenye basi wakiwa na bunduki, wakajitambulisha kama sheria inavyotaka, wakasema wanamtaka mzee Mohamed, wakampiga pingu,wakaondoka naye, kisha kumuua na kumtupa ununio!! It looks exactly like a dog, walk like a dog and bark like a dog! Yes its a Dog!!
Kampuni ya bus za TASHRIF zinatumika kuteka Raia wa Tanzania
Vizuri sana.. kwenye maovu tuyakemee kwa nguvu zoteNimeshatoka huko. Mama ameniudhi sana
His chances are slim to 0, and labda wanasubiri papoe ili watoe tamko , but as for now ndugu na marafiki wajiandae kwa habari mbayaYule dogo sina uhakika kama bado anaifurahia oxygen ya bure 😢😢😢
Kuuawa kwa wanaccm ndiyo inakuwa hatarishi? Ila wakiuawa chadema ni amani?Wazo hatarishi sana, tuombee amani na mshikamano katika taifa letu, hatuna sehemu nyingine zaidi ya Tanzania.
Nimeshangaa kuona mtu anauliwa bila sababuKama Ni mambo yao ya kisiasa bora wangempeleka jela sio kumuua Jamani!!
Yakikufika uandike hivi hiviNyie machadema mlikuwa mnasema magu ni dikteta......eti samia anaupiga mwingi.
Kwanza huyo aliyekufa ni CCM mwenzao wanajuana msituchoshe.