TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Kupitia kwa kifo cha huyu mzee, tunaweza kuujua ukweli fulani wa hawa watekaji...

Walimteka mchana, ndani ya basi (kampuni ya bus inayojulikana) akiwa kama abiria, tendo limeshuhudiwa na abiria wengine wote na waliofanya tendo hilo wamejitambulisha kama Mapolisi.....

Tunajiuliza, kampuni ya bus ya Tashriff nao ni sehemu ya mpango wa kuuwawa kwa huyu mzee.? Wanashirikiana na hili kundi la ujambazi/ugaidi wanaojitambulisha kama polisi? Bila shaka ni lazima Tashriff bus wawe sehemu ya uchunguzi wa tukio hili.....

Iweje polisi wakamate mtu halafu baadae aokotwe amekufa. Hii ndiyo kazi ya polisi..?
 
We are not safe leo tunasoma na kupata taarifa kwa wenzetu ila ipo siku tutashuhudia milangoni mwetu kama hadi maafisa wastaafu
wa jeshi jwtz nao wanaguswa hii ni hatari
 
Mimi mwenyewe sikuwhi kumjua ila kama binadamu nimestushwa mnoo na kiteelndo hiki...
au huyu kamanda alikuwa na kitengo kizito ndani ya chadema kuwadukuwa hawa watekaji?
Nimesoma sehemu kuwa alikuwa x soldier
 
Mabasi ya kisasa yana camera, waliomteka wote wamerekodiwa, ni suala la polisi kuwataja baaasi
 
Jamaa waliomuua uyo father wanakaa kabisa baa na wanakunywa bia vzuri tu wakirud nyumban watt wao wanawapokea huku kashika kilo ya nyama mfukoni, weekend anatoka na watt wake wanenda kuenjoy kwenye michezo ya watotot kunduchi beach kwa raha kabisa. Its horrible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…