TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Bashite toka arudi kwenye system,nchi imekuwa kama Rwanda enzi za N’terahamwe
 
Nyie machadema mlikuwa mnasema magu ni dikteta......eti samia anaupiga mwingi.

Kwanza huyo aliyekufa ni CCM mwenzao wanajuana msituchoshe.
 
Ile ya magufuli cha mtoto. Samia Funga kazi.mtu anatekwa hadharani na watu wanaona.alafu mtu huyo huyo .anauliwa na serikali imekaa kimya.
 
Wazo hatarishi sana, tuombee amani na mshikamano katika taifa letu, hatuna sehemu nyingine zaidi ya Tanzania.
Kuuawa kwa wanaccm ndiyo inakuwa hatarishi? Ila wakiuawa chadema ni amani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…