neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Kama ni wapinzani wanafanyiana kwa nini wasikamatwe??? Angekuwa ameuliwa babako usingesema utumbo huuHao ni wapinzani wanataka kumpa shida Rais. Mama anaupiga mwingi sana. Ni wivu tu. Huyo kama angeamua kutulia ccm asingekutwa na hayo mauji. Kihere here chake kwenda upinzani. Na Wanamzingua mama sasa naye akiwazingua hamna kulia lia
Dah kifo cha huyu mwamba kimeniuma sana.
Mkuu samahani naomba usijibizane na jamaa; anafaamika sana ni sehemu ya killing squard....na usidhani maisha wameyapatia sana; ndugu zake wanateseka kama wananchi wengine kwasababu ya matatizo yanayosababishwa na serikali lakini yeye yupo vizuri kidogo hivyo awezi kuyajua maisha ya watu wengine.Mayor, mbowe ana landcruiser mbili, ana watekaji wenye pingu na bunduki, anablock barabara, anapanda ndani ya basi yenye askali polisi (trafick) anaondoka na mtu afu kwenye nchi yenye serikali afu unasemaaaa.......
Matter call kweli wewe
Acha ukichaa fikiria kama ni mzazi wako au ndugu yako wa karibuHuyo komando wa zamani lazima aliwang'oa meno na kuwavunja mbavu na aliwatambua, hadira zao wakammaliza.
Huyo kafanyiziwa na watu anaowajua Story ya post #1 inalazimisha kuufunika ukweli.
Mkuu inasikitisha sana mambo ya kijinga kama haya yanachukulia kivyama. Humu hata watu wa CCM wapo kutengeneza uzushi nk. Kuhu ndio tumefikaNa hapa ndio tulipopotoka kama Taifa na nasikitika hata wananchi tushaingia kwenye huu Upuuzi..., Hakuna vijana wa CHADEMA kuna vijana wa Tanzania na Watanzania..., tutakapoendelea kujigawa kwa mafungu sisi wa huku chini tutaendelea kutumika kama madaraja kwenye Siasa....
Jambo kama hili likemewe sababu sio la kibinadamu no matter aliyeshikwa ni mwanasiasa au teja...., Ama sivyo hizi Divide and Rule zitaendelea kuwanufaisha wachache no matter Chama gani kitakuwa kimeshika Hatamu,... Kwahio yoyote anayefanyiwa ndivyo sivyo kila mtu akemee kwa nguvu zote na wakati wote....
Punguza sauti ndugu, tuko msibani!!Tazama sasa Samia umechukua nchi umewakutq wana kesi hawa za kutaka kuchoma vituo vya mafuta na kusababisha fujo.
Wakakimbia nchi huku wakijua dhambi zao. Wamerudi polisi wamewakamata. Huruma wako umewafutia kesi haya ndio malipo wanayokupa.
Hawana utu hawa watu.
CDM washenzi sana
Hua nawahimiza waendelee kusema anaupiga mwingiHuu mchezo watu waliucheza sana kipindi cha Mzee Magu!
Mara Kibiti mara viroba na kumbatiza majina ya Dicteta uchwara!
Maadui zake walikuwepo ndani ya serkali na upinzani wakitengeneza kila aina ya propaganda ili aonekane kiongozi asiyefaa!
Kila tukio la mauaji alibambikwa yeye ndo muhusika hata mtu akionekana kauawa mtaani walisema Magufuli anaua watu!
Sasa kweli hawana wa kumsingiziq maana adui yao alikata kauli wamebaki wenyewe waliokuwa wanashirikiana kumchafua sasa mambo yanawatokea pua!
Walisema sasa bahari iko shawa muuaji hayupo tena!
Kumve wauaji wenyewe walikuwepo ila walitumia kivuli cha JPM na ukali na kutotaka mambo ya hivyo uonekane ni udikteta Uchwara!
Hakika malipo ni hapahapa duniani!
Pona yetu sasa hivi ni kuwa CCM na kusifu. π π€£Yule waziri, wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.
Ndo utashangaa ss. Hakuna kitakachoendelea. Hakuna camera itakayochunguzwa Wala wauaji hawatajulikana na kukamatwa. Isingekuwa ni wao wamefanya tukio hilo tyr wauaji wangekwishapatikana toka jana. Tunakwisha jamani.Mabasi ya kisasa yana camera, waliomteka wote wamerekodiwa, ni suala la polisi kuwataja baaasi
Dogo kwa muktadha huo si nipitie hapo kwenu heavily gated affluent neighbourhood kukusanya rambirambi.?