TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Hao ni wapinzani wanataka kumpa shida Rais. Mama anaupiga mwingi sana. Ni wivu tu. Huyo kama angeamua kutulia ccm asingekutwa na hayo mauji. Kihere here chake kwenda upinzani. Na Wanamzingua mama sasa naye akiwazingua hamna kulia lia
Kama ni wapinzani wanafanyiana kwa nini wasikamatwe??? Angekuwa ameuliwa babako usingesema utumbo huu
 

Attachments

  • IMG_20240908_135337.jpg
    IMG_20240908_135337.jpg
    23.3 KB · Views: 3
Mayor, mbowe ana landcruiser mbili, ana watekaji wenye pingu na bunduki, anablock barabara, anapanda ndani ya basi yenye askali polisi (trafick) anaondoka na mtu afu kwenye nchi yenye serikali afu unasemaaaa.......
Matter call kweli wewe
Mkuu samahani naomba usijibizane na jamaa; anafaamika sana ni sehemu ya killing squard....na usidhani maisha wameyapatia sana; ndugu zake wanateseka kama wananchi wengine kwasababu ya matatizo yanayosababishwa na serikali lakini yeye yupo vizuri kidogo hivyo awezi kuyajua maisha ya watu wengine.
Anafahamika sana...hadi wanaomtuma wanamshangaa alivyo na rohoo mbaya with zero reasoning.
 
Na hapa ndio tulipopotoka kama Taifa na nasikitika hata wananchi tushaingia kwenye huu Upuuzi..., Hakuna vijana wa CHADEMA kuna vijana wa Tanzania na Watanzania..., tutakapoendelea kujigawa kwa mafungu sisi wa huku chini tutaendelea kutumika kama madaraja kwenye Siasa....

Jambo kama hili likemewe sababu sio la kibinadamu no matter aliyeshikwa ni mwanasiasa au teja...., Ama sivyo hizi Divide and Rule zitaendelea kuwanufaisha wachache no matter Chama gani kitakuwa kimeshika Hatamu,... Kwahio yoyote anayefanyiwa ndivyo sivyo kila mtu akemee kwa nguvu zote na wakati wote....
Mkuu inasikitisha sana mambo ya kijinga kama haya yanachukulia kivyama. Humu hata watu wa CCM wapo kutengeneza uzushi nk. Kuhu ndio tumefika
 
Tazama sasa Samia umechukua nchi umewakutq wana kesi hawa za kutaka kuchoma vituo vya mafuta na kusababisha fujo.

Wakakimbia nchi huku wakijua dhambi zao. Wamerudi polisi wamewakamata. Huruma wako umewafutia kesi haya ndio malipo wanayokupa.

Hawana utu hawa watu.

CDM washenzi sana
Punguza sauti ndugu, tuko msibani!!
 
Huu mchezo watu waliucheza sana kipindi cha Mzee Magu!
Mara Kibiti mara viroba na kumbatiza majina ya Dicteta uchwara!
Maadui zake walikuwepo ndani ya serkali na upinzani wakitengeneza kila aina ya propaganda ili aonekane kiongozi asiyefaa!
Kila tukio la mauaji alibambikwa yeye ndo muhusika hata mtu akionekana kauawa mtaani walisema Magufuli anaua watu!
Sasa kweli hawana wa kumsingiziq maana adui yao alikata kauli wamebaki wenyewe waliokuwa wanashirikiana kumchafua sasa mambo yanawatokea pua!
Walisema sasa bahari iko shawa muuaji hayupo tena!
Kumve wauaji wenyewe walikuwepo ila walitumia kivuli cha JPM na ukali na kutotaka mambo ya hivyo uonekane ni udikteta Uchwara!
Hakika malipo ni hapahapa duniani!
Hua nawahimiza waendelee kusema anaupiga mwingi
 
Yule waziri, wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.
Pona yetu sasa hivi ni kuwa CCM na kusifu. 😅🤣
 
Paschal Mayyala utusaidie kwa ilo?
Historia inatuonesha alikuwa mstafu wa JWTZ tena afisa japo sijajua alikuwa na cheo gani ndani ya JWTZ?

Kipindi cha JK alimteua kuwa katibu muenezi mkoa wa Tanga kupitia CCM,Baadae akaamia CHADEMA hadi umauti unamkuta.

Maswali machache najiuriza.
Je kama alikuwa CCM tena muenezi mkoa wa Tanga na badae kuwa CHADEMA je alikuwa anauza ramani za ushindi kwa CHADEMA hasa mkoa wa Tanga?

Je CHADEMA walimstkukia kuwa ni ana viashiria vya u CCM au ujasusi ndani yake?

Je alikuwa analeta mbinu za kijeshi au mipango ya siasa ya kijeshi ambayo alijifunza kule TMA ndani ya CHADEMA ambayo mwisho wa siku ingeleta athari ndani ya CCM na utawala wake?

Maswali ni mengi kuliko majibu, ila jambo la msingi na muhimu CHADEMA kwa sasa imezungungwa na mashushushu wengi ambao kila mtu mwenye ushawishi ndani ya CHADEMA razima apotezwe hasa ambao wanachipukia kisiasa, na ambao wanaonekana watakuja kuwa hatari zaidi hapo siku za usoni.

NB:MWENYEKITI WA CHAMA FUMUA UONGOZI WA CHADEMA UPYA ILI MUWE SALAMA NA PIA LISSU MUHACHIE CHAMA CCM MUMESHAWEZA TEYARI
 
Mabasi ya kisasa yana camera, waliomteka wote wamerekodiwa, ni suala la polisi kuwataja baaasi
Ndo utashangaa ss. Hakuna kitakachoendelea. Hakuna camera itakayochunguzwa Wala wauaji hawatajulikana na kukamatwa. Isingekuwa ni wao wamefanya tukio hilo tyr wauaji wangekwishapatikana toka jana. Tunakwisha jamani.
 
Back
Top Bottom