TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

 
Punguza sauti ndugu, tuko msibani!!
Wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe ukijumlisha na coordinated propaganda za waongeaji wao wanazotoa.

Baseless accusations za serikali, wachungaji wanaotafuta kuchota akili za wafuasi wao, promotion of the idea kwa kutangaza siku ya maombi, undermining the police force.

Kwengine duniani CDM awachomoki, lipo wazi wana akili za utoto sana.

So sad watu wanaopoteza maisha kwenye hizi movement zao ambazo hata aziwajengei political mileage zozote zaidi ya kelele za Twitter republic na mapoyoyo ya JF.
 
Canspiracy theory ndani ya conspiracy theory zinachanganya watu.

Just the facts please.

Kiongozi wa CHADEMA katekwa ndani ya basi na watu waliojitambulisha kama Polisi, kauawa na mwili umeokotwa Ununio na kutambuliwa.

Just the facts please.
 
huu ni upumbavu. haijalishi ameleta mbinu gani, kumteka na kumuua mtu kisa siasa sio sawa
 
Shushushu anauawa ili iweje?
 
Bora maana ingekuwa ni kipindi cha magu mapovu yangekuwa si ya nchi hii
JPM alisagiwa kunguni na CCM Upinzani na mpaka na Viongozi wa dini!
Lakini yeye alijua anachokifanya lakini uliona kabisa kila tukio walimshambulia huku wakisema anateka na kuua watu lakini saizi walivo wanafiki hutawasikia wanamuhusisha Samia na matukio haya!
Akitokea kiongozi mzuri Waafrica ni kama wana mashetani wanamshambulia na kumuona hafai sasa Kikowapi pamoja na kushereka kifo chake!
 
Hao hao waliomchukuwa unategemea watende kazi gani zaidi?
 
Mwenyewe najiuliza, kwamba huyo mzee alikuwa na uwezo wa kuorganize mapinduzi?

Au ukishakuwa JWTZ huruhusiwi kuwa upinzani itabidi uuawe?

Au alikuwa anajua siri gani ama alikuwa na nini cha mno hadi kuamua kumnyamazisha?
Unganisha dots na ule mkutano wa vijana uliovurungwa na polis kule mbeya.. ulimskia ulimskia mkuu wa polis alisema nini?
 
Kwa hili lime kuwa too much kwa kweli sidhani kama litapita hivi hivi bila kufanya kitu ,likipita hili bila kufanya kitu nadhani tunaweza kuhitimisha kama ulivyo hitimisha wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…