TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Paschal Mayyala utusaidie kwa ilo?
Historia inatuonesha alikuwa mstafu wa JWTZ tena afisa japo sijajua alikuwa na cheo gani ndani ya JWTZ?

Kipindi cha JK alimteua kuwa katibu muenezi mkoa wa Tanga kupitia CCM,Baadae akaamia CHADEMA hadi umauti unamkuta.

Maswali machache najiuriza.
Je kama alikuwa CCM tena muenezi mkoa wa Tanga na badae kuwa CHADEMA je alikuwa anauza ramani za ushindi kwa CHADEMA hasa mkoa wa Tanga?

Je CHADEMA walimstkukia kuwa ni ana viashiria vya u CCM au ujasusi ndani yake?

Je alikuwa analeta mbinu za kijeshi au mipango ya siasa ya kijeshi ambayo alijifunza kule TMA ndani ya CHADEMA ambayo mwisho wa siku ingeleta athari ndani ya CCM na utawala wake?

Maswali ni mengi kuliko majibu, ila jambo la msingi na muhimu CHADEMA kwa sasa imezungungwa na mashushushu wengi ambao kila mtu mwenye ushawishi ndani ya CHADEMA razima apotezwe hasa ambao wanachipukia kisiasa, na ambao wanaonekana watakuja kuwa hatari zaidi hapo siku za usoni.

NB:MWENYEKITI WA CHAMA FUMUA UONGOZI WA CHADEMA UPYA ILI MUWE SALAMA NA PIA LISSU MUHACHIE CHAMA CCM MUMESHAWEZA TEYARI
Six5b0TZWlBbGx71.jpg
 
Punguza sauti ndugu, tuko msibani!!
Wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe ukijumlisha na coordinated propaganda za waongeaji wao wanazotoa.

Baseless accusations za serikali, wachungaji wanaotafuta kuchota akili za wafuasi wao, promotion of the idea kwa kutangaza siku ya maombi, undermining the police force.

Kwengine duniani CDM awachomoki, lipo wazi wana akili za utoto sana.

So sad watu wanaopoteza maisha kwenye hizi movement zao ambazo hata aziwajengei political mileage zozote zaidi ya kelele za Twitter republic na mapoyoyo ya JF.
 
Canspiracy theory ndani ya conspiracy theory zinachanganya watu.

Just the facts please.

Kiongozi wa CHADEMA katekwa ndani ya basi na watu waliojitambulisha kama Polisi, kauawa na mwili umeokotwa Ununio na kutambuliwa.

Just the facts please.
 
Paschal Mayyala utusaidie kwa ilo?
Historia inatuonesha alikuwa mstafu wa JWTZ tena afisa japo sijajua alikuwa na cheo gani ndani ya JWTZ?

Kipindi cha JK alimteua kuwa katibu muenezi mkoa wa Tanga kupitia CCM,Baadae akaamia CHADEMA hadi umauti unamkuta.

Maswali machache najiuriza.
Je kama alikuwa CCM tena muenezi mkoa wa Tanga na badae kuwa CHADEMA je alikuwa anauza ramani za ushindi kwa CHADEMA hasa mkoa wa Tanga?

Je CHADEMA walimstkukia kuwa ni ana viashiria vya u CCM au ujasusi ndani yake?

Je alikuwa analeta mbinu za kijeshi au mipango ya siasa ya kijeshi ambayo alijifunza kule TMA ndani ya CHADEMA ambayo mwisho wa siku ingeleta athari ndani ya CCM na utawala wake?

Maswali ni mengi kuliko majibu, ila jambo la msingi na muhimu CHADEMA kwa sasa imezungungwa na mashushushu wengi ambao kila mtu mwenye ushawishi ndani ya CHADEMA razima apotezwe hasa ambao wanachipukia kisiasa, na ambao wanaonekana watakuja kuwa hatari zaidi hapo siku za usoni.

NB:MWENYEKITI WA CHAMA FUMUA UONGOZI WA CHADEMA UPYA ILI MUWE SALAMA NA PIA LISSU MUHACHIE CHAMA CCM MUMESHAWEZA TEYARI
Shushushu anauawa ili iweje?
 
Bora maana ingekuwa ni kipindi cha magu mapovu yangekuwa si ya nchi hii
JPM alisagiwa kunguni na CCM Upinzani na mpaka na Viongozi wa dini!
Lakini yeye alijua anachokifanya lakini uliona kabisa kila tukio walimshambulia huku wakisema anateka na kuua watu lakini saizi walivo wanafiki hutawasikia wanamuhusisha Samia na matukio haya!
Akitokea kiongozi mzuri Waafrica ni kama wana mashetani wanamshambulia na kumuona hafai sasa Kikowapi pamoja na kushereka kifo chake!
 
Kuna rafiki yangu mmoja ana cheo kichama.
Nimesoma nae na hata ghetto tulikaa nae Sana
Aliwai nambia ✍️ Dr am 4 real PhD wewe ni jembe na ni very potential unakubalika na una ushawishi kwa watu wanao kuzunguka na jamii kwa ujumla wake.
Nikamjibu: Sipendi Mambo ya siasa KABISA Kuna undumila kuwili mwingi mno.

Humu Jf Kuna brainy nyingi sanaaa Ila zipo mbali na SIASA sababu ya factors nyingi nyingi Kama hizi.

Apumzike kwa amani tuviachie vyombo vya ulinzi na usalama zitende kazi yake.
Hao hao waliomchukuwa unategemea watende kazi gani zaidi?
 
Mwenyewe najiuliza, kwamba huyo mzee alikuwa na uwezo wa kuorganize mapinduzi?

Au ukishakuwa JWTZ huruhusiwi kuwa upinzani itabidi uuawe?

Au alikuwa anajua siri gani ama alikuwa na nini cha mno hadi kuamua kumnyamazisha?
Unganisha dots na ule mkutano wa vijana uliovurungwa na polis kule mbeya.. ulimskia ulimskia mkuu wa polis alisema nini?
 
Kwa hili lime kuwa too much kwa kweli sidhani kama litapita hivi hivi bila kufanya kitu ,likipita hili bila kufanya kitu nadhani tunaweza kuhitimisha kama ulivyo hitimisha wewe.
 
Back
Top Bottom