donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Inafikirisha sana, mbona mwamba hakua mng'ao Sana kwenye duru za kisasa hadi apotezwe kimbinu namna hii? Bora twende Zimbabwe sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👊💪tupo pamoja gentleman,
nakubali kupingwa kwa hoja, but why all this at a time of chadema elections?🐒Jeshi la polisi liko wapi? Usalama je? Intelijensia yoote inakubali vitendo hivyo vitapakae nchi nzima?..vipi zile Task Force? Zimelala?
Kaka hapa wakutuokoa tu ni Mungu, Mungu mwenyewe mpaka atake yeye mwenyewe, amekuwa mgumu sana wa kuchukua maamuzi, ni kama Shetani anataka kumzidi nguvu...sio kwamba nakufuru lakini najaribu kuwaza.Katika hali yoyote ile, Waziri wa mambo ya ndani ya nchi kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu ni dharau na kejeli kubwa kwa Watanzania.
Mkuu wa Polisi pia afanye maamuzi magumu japo sioni kama ni magumu, yeye kuendelea kuwa katika nafasi hiyo pia ni aibu kwake na mzigo mzito.
Tunaelekea wapi kaka taifa? Sijui!
Ni DramaNi udhalimu wenye baraka za wakubwa. Wapo kimya utadhani hakuna kinachoendelea
Kwani yule DC wa Longido (muda mchache kabla ya kuenguliwa) alihitimisha vp?Katika hali yoyote ile, Waziri wa mambo ya ndani ya nchi kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu ni dharau na kejeli kubwa kwa Watanzania.
Mkuu wa Polisi pia afanye maamuzi magumu japo sioni kama ni magumu, yeye kuendelea kuwa katika nafasi hiyo pia ni aibu kwake na mzigo mzito.
Tunaelekea wapi kaka taifa? Sijui!
Wapo ndani ya mfumo, nimesema hivyo kwa sababu kama shida ingekuwa ni Jpm hayo mambo yangeisha baada ya yeye kufariki ila bado yanaendelea.Kwa hiyo maRais wapo nje ya mfumo na mauji yanayotendeka hawayajui na hawajawahi kuyasikia?
Kwani yule DC wa Longido (muda mchache kabla ya kuenguliwa) alihitimisha vp?
Kuhusu kuanzisha sijui ila mfumo ndio chanzo cha yote haya chini ya chama cha kijani.J
jpm ndio alianzisha hivi vitengo vya kuua wapinzani na wakosoaji wake..huyu mama shungi yeye nae kaiga kuua ila policeccm wajue nao ni binadamu yana mwisho na mwisho wake ni mbaya sana
Nchi inavuja machozi ya dam sana, sio mda machozi ya dam yatalamba wajinga hawa , tutashangaa , Mungu wangu mwaminifu sanaKama ameshindwa kuwadhibiti, aachie ngazi
Kama usalama wa raia sio kipaumbele cha serikali basi tupo pabaya sana.Hapa naona serikali inapambania usalama wake yenyew na sio usalama wa raia,..
Kikubwa mlimtukana sana, sasa ni muda wa kula matapishi yenu kwa aibu😂Yule waziri, wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.
Ikumbukwe marehemu mnaemvisha lawama hajawai kufuta sheria za wasiojulikana kutoshtakiwa. Aliyebadilisha sheria kuwaondolea kinga wale jamaa wa upande ule anafahamika.😂Tatizo sio JPM na wala sio Samia. Tatizo ni mfumo, haya yote yalitokea na yanaendelea kutokea kwa sababu ya mifumo chini ya serikali ya chama cha kijani na wapo kimya. Inasikitisha sana sijui kama taifa tunaelekea wapi kama serikali inashindwa kuhakikisha raia wake wanakuwa salama.
Aibu yao yanii🤣 mi nawacheki tu kila goti litapigwa mbele ya Jah siku ya hukumu.R.I.P JPM ulikua unasingiziwa sana. Ona sasa watu wanaendelea kuokotwa wameuwawa ila wala Rais hatajwi kwenye mauaji hayo
Bado hamjasemaa 😂😂😂Kwa kweli hii Serikali ya sasa ni aheri hata ya wakatiwa Magufuli. Japo kulikuwa na utekaji na mauaji ya wanasiasa, lakini hayakufikia kiwango hiki. Shetani ameweka makao ya kudumu kwente Serikali ya awamu hii. Kusipofanyika kitu, hawa watu wataendelea kuua Watanzania kama vile wanavyouawa kuku.
Mungu wa mbinguni tunaomba atusaidie, uovu huu ambao haya mashetani yanatenda dhidi ya wanadamu wengine, ukawarudie na wao mara 2 zaidi.