TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

 
Kaka hapa wakutuokoa tu ni Mungu, Mungu mwenyewe mpaka atake yeye mwenyewe, amekuwa mgumu sana wa kuchukua maamuzi, ni kama Shetani anataka kumzidi nguvu...sio kwamba nakufuru lakini najaribu kuwaza.
 
Kwani yule DC wa Longido (muda mchache kabla ya kuenguliwa) alihitimisha vp?
 
Daa hatari sana, yote haya kwa ajili ya kungangania madaraka .

Ss siku ya uhuru wa Tanganyika tunasherekea ya nini
 
Kwani yule DC wa Longido (muda mchache kabla ya kuenguliwa) alihitimisha vp?
Nina mashaka makubwa na haya mambo, Rais anapaswa kusimama kama anataka kulinda taswira yaka na serikali yake.

Haya matukio ni lazima yachunguzwe na watu wajulikane na wawajibishwe.

Zile kauli za kujinadi wazi kuiba uchaguzi pengine kuna watu wanataka kuchafua taswira yake na serikali yake. Akinyamaza asiposema lolote au kuwajibisha watu, basi tutabaki na mtazamo wa walio wengi kuwa wanauliwa kwa upinzani wao jambo ambalo linaweza lisiwe sahihi.
 
First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist.

Then they came for the trade unionists, and I did not speak out—because I was not a trade unionist.

Then they came for the Jews, and I did not speak out—because I was not a Jew.

Then they came for me—and there was no one left to speak for me.

—Martin Niemöller
 
Yule waziri, wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.
Kikubwa mlimtukana sana, sasa ni muda wa kula matapishi yenu kwa aibu😂
 
Ikumbukwe marehemu mnaemvisha lawama hajawai kufuta sheria za wasiojulikana kutoshtakiwa. Aliyebadilisha sheria kuwaondolea kinga wale jamaa wa upande ule anafahamika.😂
 
Bado hamjasemaa 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…