dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Wana lipa kisasi kwa nani sasa!!?? Je Report ya uchunguzi ishatoka!!?Naona kwa hili kisasi nakiona hakiepukiki
Hivi hakuna jamaa jasiri mmoja amtafute na aniltee huyu Abdul...??Siku apoteee Abdul......yote yataishaaa
Naona kashtuka katoa pole kwa familia, muhimu aache kuwa muoga yeye kama amri jeshi mkuu avunje kikosi kazi husika na ikiwezekana wajulikane na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria ili haki itendeke.
Huyu bibie sio ndiye mrithi wa tabia na mipango ya huyo baba yako?Mbowe na genge lake walimsema sana Dkt Magufuli ndiye anaagiza waty wafe, walifanya sherehe hahaha, ngoja sasa ngoma inogile. Dkt Magufuli alikuwa mkarimu sana
Aliye telemka naye uanzie kwenye tiketi za bus, informa aliyekuwa naye kwenye bus mawasiliana yakeNiseme kama hili swala Rais hahusiki,na ana nia kweli ya kuchunguza,basi polisi wangeanzia kwenye makampuni ya simu,maana mda mwingi nasikia watekaji walikuwa wakiwasiliana na marehemu
Hii ishu haina tofauti na ile ya mtoto zeruzeru