TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Nimekuelewa.....

#Tanzania ni lazima ibaki na mentality za hovyo ni lazima ziondoke[emoji7]

#Mwenyezi Mungu mhifadhi rais mh.Samia na malengo yake bora aaamin aaaamin [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Angekuwa mtoto wake, mtu wake wa karibu asingechukua hatua?
Mbn kachukua hatua yaan hadi mkuu wa nchi kuongea hadharan kuagiza vyombo vya ulinzi vilete ripot ya uchunguz wa hivi vtu unaona c hatuq? Ile ni order hapa inatekelezwa , tatzo ilikuw mwanz wa matukio kama hya mhe. Alikuw hajaongelea haya mambo ila haina maana kuw alikuw kmy au alikuw amefumba macho hapan lazma hko ndan na vyomb vya ulinzi walikuw wakiyaongelea masuala yote ya usalama na mienendo nchin, na katika uongoz c kila jambo lazma ulizungumze ingali bado liko bichi kuepuka kulikuza instead inatakiw n kulifanyia kaz in silent kuepuk taharuki, haya mambo ad kufka hatua raisi kuongea hyo n hatua kubwa sana kuichukua
 
Mh
Mh! Na wewe kuhofia usalama wa viongozi Ununio unamaanisha viongozi wa serikali au wa vyama vya upinzani? Kama viongozi wa serikali hawawezi kutekwa kama wanaenda sawa na serikali ondoa hofu!
 
sahihi kkuu ila kuna siku moja utasikia raia
 
Tulipofikia ni kubaya no one is safe,kila mtu ajiandae kwa lolote. Huyu Mzee damu yake ipo mikonon mwa watesi wake.Inaumiza sana sana kafa kifo cha mateso mno.Roho yake isipumzike mpaka waliomuua kikatili nao wafe kama nzi.Btw napata mashaka na kina Soka si ajabu nao wameshayeyushwa kwenye acid😭😭😭
 
Inasikitisha sana yaani
 
Hivi hapa Jf najua lazima TIss wawe washa jipenyeza ndani ya mfumo humo ofisini ..taarifa zetu usalama wake ukoje ? Je mods wana weza ku access taarifa zetu ? Maxence Melo
 
Umeeleka.
 
Huo uchunguzi alioagiza Samia mnadhani utakuja na nini zaidi ya kutudanganya kauwawa kwa wivu wa mapenzi.
Nchi imeoza (rotten to the core)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…