Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
MnoNi kweli kabisa wabongo ni wanafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MnoNi kweli kabisa wabongo ni wanafiki
Kabisa alikuwa anamaanisha huyu umeelewa sasaDuh sijakuelewa kabisa
Mbn kachukua hatua yaan hadi mkuu wa nchi kuongea hadharan kuagiza vyombo vya ulinzi vilete ripot ya uchunguz wa hivi vtu unaona c hatuq? Ile ni order hapa inatekelezwa , tatzo ilikuw mwanz wa matukio kama hya mhe. Alikuw hajaongelea haya mambo ila haina maana kuw alikuw kmy au alikuw amefumba macho hapan lazma hko ndan na vyomb vya ulinzi walikuw wakiyaongelea masuala yote ya usalama na mienendo nchin, na katika uongoz c kila jambo lazma ulizungumze ingali bado liko bichi kuepuka kulikuza instead inatakiw n kulifanyia kaz in silent kuepuk taharuki, haya mambo ad kufka hatua raisi kuongea hyo n hatua kubwa sana kuichukuaAngekuwa mtoto wake, mtu wake wa karibu asingechukua hatua?
Mh! Na wewe kuhofia usalama wa viongozi Ununio unamaanisha viongozi wa serikali au wa vyama vya upinzani? Kama viongozi wa serikali hawawezi kutekwa kama wanaenda sawa na serikali ondoa hofu!Kama MTU anatekwa Katikati ya mji, kitovu cha Nchi! Anauwawa na mwili wake unatupwa Jirani tu hapa, je tuko salama kama Nchi?? Who's next? Tunajuaje usalama WA VIONGOZI wetu kama upo? Ununio na magogoni sio mbali, ununio kuna VIONGOZI wakubwa Sana wanaishi huko, je usalama wao ukoje?? Haya wacha tuone who's next....
sahihi kkuu ila kuna siku moja utasikia raiaMTAZAMO WANGU;
Naona ingefaa Waziri wa Ulinzi/Mkuu wa Majeshi,angechukua hatua, kwasababu hii ni dalili/ishara ya kuwa nchi/Taifa haliko salama,na maadui wakuu ni genge la polisi na hawa wanao jiita usalama wa taifa,ambao kiuhalisia ni usalama wanasiasa.
UBAYA UKIANZA HUWA HAUFI..... 👍Huwa nasemaga watanzania wana roho mbaya mnyarwanda
Ana subiri.....
Na kwa matukio haya ya kutoana uhai chuki ndiyo zinazidi kupandikizwa
Ova
Na wewe ni kina sisi tu, ulivyobwabwaja hapo kuna ushauri gani wa maana umeuweka kwenye comment yako hii?Ajabu wote mlioko hapa mnaishia kulaani tu badala ya kutoa neno nini kifanyike kukomesha huu udhalimu;
Hawezi. Kazi yake ni kuchombeza kama mfuga mbwa anavyofurahia mbwa wake wanavyogombana akiwatupia marapurapu.Mkuu toa muongozo tufanye nini.
Inasikitisha sanaDah! Tulikofikia ni pabaya
Inasikitisha sana yaaniTulipofikia ni kubaya no one is safe,kila mtu ajiandae kwa lolote. Huyu Mzee damu yake ipo mikonon mwa watesi wake.Inaumiza sana sana kafa kifo cha mateso mno.Roho yake isipumzike mpaka waliomuua kikatili nao wafe kama nzi.Btw napata mashaka na kina Soka si ajabu nao wameshayeyushwa kwenye acid😭😭😭
Umeeleka.Mbn kachukua hatua yaan hadi mkuu wa nchi kuongea hadharan kuagiza vyombo vya ulinzi vilete ripot ya uchunguz wa hivi vtu unaona c hatuq? Ile ni order hapa inatekelezwa , tatzo ilikuw mwanz wa matukio kama hya mhe. Alikuw hajaongelea haya mambo ila haina maana kuw alikuw kmy au alikuw amefumba macho hapan lazma hko ndan na vyomb vya ulinzi walikuw wakiyaongelea masuala yote ya usalama na mienendo nchin, na katika uongoz c kila jambo lazma ulizungumze ingali bado liko bichi kuepuka kulikuza instead inatakiw n kulifanyia kaz in silent kuepuk taharuki, haya mambo ad kufka hatua raisi kuongea hyo n hatua kubwa sana kuichukua