Eti mnazo dino nyie wauaji.Ijumaa,jmamos na jumapili mmejazana kwenye nyumba za Ibada huku roho zisizo na hatia zikiwalilia damu zao zikiwa mikononi mwenu ninyi wauaji.Pumzika kwa Amani Bao hakuna atakayeilinda Dunia Sote tunapita.
Tanzania itaendelea kuwa wajinga wakati wote elewa hilo, hakuna namna hawa watanzania wakuwa na fikra tofauti na ilivyo sasaBado kitambo kidogo historia ya nchi itabadilika.kwa watu hawajiulizi nchi zingine zilibadilishaje historia zao.wao wanafikiri hii imeumbwa special na wananchi watabaki kua wajinga milele.Ngoja tuupe muda nafasi utatuambia nini kitajiri.Inasikitisha na kukasirisha sana.
Hakuna ujinga wa milele.uvumilivu una kiwango.maumivu yakizidi litatokea jambo.Ata nchi zilizoharibika hapo awali wananchi wake walikua wavumilivu hadi hapo maumivu ya mioyo inayovuja damu ilipokoma kuvumilia.Niswala la muda tu.Tanzania itaendelea kuwa wajinga wakati wote elewa hilo, hakuna namna hawa watanzania wakuwa na fikra tofauti na ilivyo sasa
Upumbavu wako ni mkubwa sana.kwahiyo cdm ndio inaweza kutembea na silaha nakufanya uhalifu mchana kweupe.Tunapozungumzia uhai wa mtu kama huna akili bora ukae kimya.Hapo unajiona umeandika cha naana kumbe upumbavu mtupu.jinga wewe.Unaona sasa Samia ukiambiwa hawa watu sio wastaarabu Umekazana na 4R żako.
You can’t negotiate with terrorists,
Nyuma ya mambo yote haya ni CDM
UVCCM nj zaidi ya AlqaedaHaya yanayoendelea hivi sasa hayatadhibitika huku tukiwa na kikosi kisichoelezeka! Kikosi hiki ambacho huonekana kwenye mikutano ya CCM kikilisaidia jeshi la polisi hatujui uhalali wake huku kukiwa na onyo toka UVCCM Kagera kwamba polisi wasihangaike endapo mtu atapotea, wao watakuwa wamekwisha mshughulikia.
CcM ni chama dhalimu. Ninamlaani nyerere yeye ndio kasababisha tufike hapa. Wakati tunaingia kwenye mfumo wa vyama vingi, alitakiwa aivunje na kuifuta kabisa CCM, alete katiba mpya na Sheria Bora ya vyama vya siasa.Haya yanayoendelea hivi sasa hayatadhibitika huku tukiwa na kikosi kisichoelezeka! Kikosi hiki ambacho huonekana kwenye mikutano ya CCM kikilisaidia jeshi la polisi hatujui uhalali wake huku kukiwa na onyo toka UVCCM Kagera kwamba polisi wasihangaike endapo mtu atapotea, wao watakuwa wamekwisha mshughulikia.
Uvccm wanahusika na uhalifu mkubwa unaeoendelea.Haya yanayoendelea hivi sasa hayatadhibitika huku tukiwa na kikosi kisichoelezeka! Kikosi hiki ambacho huonekana kwenye mikutano ya CCM kikilisaidia jeshi la polisi hatujui uhalali wake huku kukiwa na onyo toka UVCCM Kagera kwamba polisi wasihangaike endapo mtu atapotea, wao watakuwa wamekwisha mshughulikia.
CCM ni kama Bokoharam tuCCM ni genge la wauwaji
Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya....Uvccm wanahusika na uhalifu mkubwa unaeoendelea.
Generalization....CCM ni kama Bokoharam tu
Mwenye kumlaani baba wa taifa hulaanika mwenyewe.....CcM ni chama dhalimu. Ninamlaani nyerere yeye ndio kasababisha tufike hapa. Wakati tunaingia kwenye mfumo wa vyama vingi, alitakiwa aivunje na kuifuta kabisa CCM, alete katiba mpya na Sheria Bora ya vyama vya siasa.
Hakufanya hayo, matokeo yake Leo CCM inaona wapinzani wa CHADEMA hawana haki ya kuishi
Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya....
Acha ushabiki "koko"....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani ni UVCCM taifa waliotoa tamko hilo ?!?[emoji44][emoji44]UVCCM nj zaidi ya Alqaeda