TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Sasa roho zao zimefurahi nafsi zao zimeridhika kukuona ukiwa mwili mtupu usio na pumzi,Hujawahi kuwatendea baya lolote,kosa lako ni kuwa mwanachama wa CHADEMA.

Tutakutana tena Mbinguni Kamanda.😭😭😭
Eti mnazo dino nyie wauaji.Ijumaa,jmamos na jumapili mmejazana kwenye nyumba za Ibada huku roho zisizo na hatia zikiwalilia damu zao zikiwa mikononi mwenu ninyi wauaji.Pumzika kwa Amani Bao hakuna atakayeilinda Dunia Sote tunapita.
20240909_042827.jpg
20240908_220918.jpg
 
Watu wanasema chadema hawako serious wanaunguzana wao kwa wao
Waliochukua hela na ambao hawajachukua kuna shida kubwa kule kwao ukiona saiv hicho chama Mbowe mwenyewe anavyoongea muangalieni dhamili yake(Demeanor) amebakia yeye na Mnyika na machawa wake wanaosimama nae pale Viongozi wengine wako wapi?? Lissu yuko wapi?? Heche yuko wapi?? Mnataka kusema Lissu nguvu zake na ushawishi wake unalingana na machawa wenu???

Nyie mnamshambulia Msigwa lakini mnajua mkikaa CC mnareport kila kitu upande unaowapa hela, bora Msigwa ambae ameamua kumwaga mbarika kuliko nyie nusu na robo mko moto robo mko baridi!!! mnauza taarifa zote na kuwasema wenzenu ambao wamesema kauli tofauti..Salum Mwalimu anarekodi kila kitu na kukitoa mnajua.
Mnawachuuza watu nyie watanzania wanafikiria hicho ni chama cha siasa kumbe ni genge la usaliti you have no purpose acheni ujinga nyie.
 
Bado kitambo kidogo historia ya nchi itabadilika.kwa watu hawajiulizi nchi zingine zilibadilishaje historia zao.wao wanafikiri hii imeumbwa special na wananchi watabaki kua wajinga milele.Ngoja tuupe muda nafasi utatuambia nini kitajiri.Inasikitisha na kukasirisha sana.
 
Tanzania itaendelea kuwa wajinga wakati wote elewa hilo, hakuna namna hawa watanzania wakuwa na fikra tofauti na ilivyo sasa
 
Tanzania itaendelea kuwa wajinga wakati wote elewa hilo, hakuna namna hawa watanzania wakuwa na fikra tofauti na ilivyo sasa
Hakuna ujinga wa milele.uvumilivu una kiwango.maumivu yakizidi litatokea jambo.Ata nchi zilizoharibika hapo awali wananchi wake walikua wavumilivu hadi hapo maumivu ya mioyo inayovuja damu ilipokoma kuvumilia.Niswala la muda tu.
 
Kunamaswali mengi sana nmejiuloza ila POLISI TANZAIA wanabebeshwa lawama nyingi sana nyingine ni zao na nyingine si zao.
HAta wahalifu nao wanajifanya polisi ili mambo yao yafanikiwe.

MUNGU tuweke salama. MUNGU ilinde Tanzania.

Roho ya marehemu ipate pumziko la milele
Amina
 
Unaona sasa Samia ukiambiwa hawa watu sio wastaarabu Umekazana na 4R żako.

You can’t negotiate with terrorists,

Nyuma ya mambo yote haya ni CDM
Upumbavu wako ni mkubwa sana.kwahiyo cdm ndio inaweza kutembea na silaha nakufanya uhalifu mchana kweupe.Tunapozungumzia uhai wa mtu kama huna akili bora ukae kimya.Hapo unajiona umeandika cha naana kumbe upumbavu mtupu.jinga wewe.
 
Haya yanayoendelea hivi sasa hayatadhibitika huku tukiwa na kikosi kisichoelezeka! Kikosi hiki ambacho huonekana kwenye mikutano ya CCM kikilisaidia jeshi la polisi hatujui uhalali wake huku kukiwa na onyo toka UVCCM Kagera kwamba polisi wasihangaike endapo mtu atapotea, wao watakuwa wamekwisha mshughulikia.
 
UVCCM nj zaidi ya Alqaeda
 
Bahati nzuri hua wanajisema wenyewe hadharani bila uoga, na hapo ndipo utakapo gundua damu za watu ni mbaya maana wanakua kama wamewehuka kwa kulewa damu
 
Haya yanayoendelea hivi sasa hayatadhibitika huku tukiwa na kikosi kisichoelezeka! Kikosi hiki ambacho huonekana kwenye mikutano ya CCM kikilisaidia jeshi la polisi hatujui uhalali wake huku kukiwa na onyo toka UVCCM Kagera kwamba polisi wasihangaike endapo mtu atapotea, wao watakuwa wamekwisha mshughulikia.
CcM ni chama dhalimu. Ninamlaani nyerere yeye ndio kasababisha tufike hapa. Wakati tunaingia kwenye mfumo wa vyama vingi, alitakiwa aivunje na kuifuta kabisa CCM, alete katiba mpya na Sheria Bora ya vyama vya siasa.
Hakufanya hayo, matokeo yake Leo CCM inaona wapinzani wa CHADEMA hawana haki ya kuishi
 
Uvccm wanahusika na uhalifu mkubwa unaeoendelea.
 
Green Guard hawapo tena.....msajili alishawapiga marufuku....

Chadema na wale Red Brigade nao pia hawapo....

Cuf na wale Blue Guard nao hawapo pia......

BAVICHA si jeshi kama ilivyo UVCCM....

Kauli za "kipumbavu" wanazozitoa baadhi ya wanachama wa UVCCM si za kuzivumilia na nitachokijua ni kuwa wajinga ,wazembe ,maadui wa utu na wema wako kila eneo .....hawakosekani hata katika baadhi ya taasisi zenye heshima....

#Say No To Bigotry [emoji7]

#Say No Extremism [emoji7]

KULIPENDA TAIFA LETU NI KUWAPENDA WATANZANIA NA KUWAHESHIMU VIONGOZI WAKE

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
CcM ni chama dhalimu. Ninamlaani nyerere yeye ndio kasababisha tufike hapa. Wakati tunaingia kwenye mfumo wa vyama vingi, alitakiwa aivunje na kuifuta kabisa CCM, alete katiba mpya na Sheria Bora ya vyama vya siasa.
Hakufanya hayo, matokeo yake Leo CCM inaona wapinzani wa CHADEMA hawana haki ya kuishi
Mwenye kumlaani baba wa taifa hulaanika mwenyewe.....

Kama wewe si mtoto basi TAFAKARI...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom