emanuel kiwonyi
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 437
- 641
Unajua mkuu haya mambo ni magumu sana ukiangalia haya mambo yanaanzia kwenye ngazi za juu na hawa waliofanya mauaji inawezekana imetolewa odar kafanyeni ivi na huku nyuma Kuna watu wakubwa wanasaport angalia clip ya lema kwenye msiba marehemu hajatekwa na majambazi na nukuu maneno ya lema na akimwambia waziri kwenye msiba haya mambo ni magumu sana yanauma lakini ukweli wanaujua waoYule waziri, wizara imemshinda.
Samia anayafurahia haya mambo.
Naanza kuona bora utekaji wa kipindi cha magufuli. Nilijua mwiulu mchemba ndio wazuri mbovu wa mambo ya mdani kuliko wote waliopita kumbe nilikuwa najidanganya.
Eti mnazo dino nyie wauaji.Ijumaa,jmamos na jumapili mmejazana kwenye nyumba za Ibada huku roho zisizo na hatia zikiwalilia damu zao zikiwa mikononi mwenu ninyi wauaji.Pumzika kwa Amani Bao hakuna atakayeilinda Dunia Sote tunapita.
Jeshi la polisi linaajua watekaji.1. Jeshi la polisi linaajua watekaji.
2. Ofisi ya DPP wanawajua watekaji.
3. TISS wanawajua watekaji.
4. CCM wanawajua watekaji.
Watekaji ndio wauaji.View attachment 3090839View attachment 3090840
Jeshi la polisi linaajua watekaji.1. Jeshi la polisi linaajua watekaji.
2. Ofisi ya DPP wanawajua watekaji.
3. TISS wanawajua watekaji.
4. CCM wanawajua watekaji.
Watekaji ndio wauaji.View attachment 3090839View attachment 3090840
Acha ujinga ,hamna cha code wala bibi yake na code , polisi ,TISS na jwtz wana task force ya kuteka watu na kuwapoteza kwa maslahi ya ccm .Polisi wakifanya kwa weledi na kuto ahirisha kufikiri kwa akili za kizalendo, naamini hawawezi kushindawa tuwe na subira tusiunganishe nukta, maana wahalifu wamo humu wanaweza zichezea hizo nukta, (codes), mnazo jaribu kuziunganisha, they can log out and disappear
je umekisoma na kuelewa nilichokiandika kuchelewa kujua siyo ujinga, ujinga ni kutotaka kujua, (kujifunza), am not closed.Acha ujinga ,hamna cha code wala bibi yake na code , polisi ,TISS na jwtz wana task force ya kuteka watu na kuwapoteza kwa maslahi ya ccm .
Hii ya kujiumauma ni upumbavu tu na uoga wa kishamba na unafiki wa watanzania ,kwanza huyo masauni jana wangemfumua mawe .
Nchi hii hamna kinachotekelezwa na vyombo vya dola bila maelekezo toka executive branch ya serikali ambayo iko chini ya ccm ,
Inawezekana ni tip in icebergAmejisemea YEYE huko Kagera....
Akueleze wapi alitumwa na UVCCM TAIFA kusema maneno hayo....
Mtu anaweza kujisemea lolote popote AKIAMUA....
Ni sawa na yule askari polisi "mlevi" aliyekuwa anatoa maneno ya hovyo akiwa ulevini na uniform...kwani alitumwa na jeshi kufanya vile ?!![emoji44][emoji44]
Kwani alikuwa analisemea jeshi pale ?!! [emoji44][emoji44]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
HakikaKuna chawa mmoja humu ukimpiga spana huwa anatishia kwamba ni Afisa wa Serikali toka jumapili sijamuona akianzisha uzi zaidi ya kuona reaction yake kwa Kijana wa kububujikwa machozi. We are all humans na tuna mioyo wakati mwingine hata kama ni Chawa au Kunguni nafsi itakusuta tu.
Kuna chawa andazi mmoja humu na nduguye Tlaatlaah wapo bize kupangua tuhuma za Hangaya.Uchunguzi tulioufanya kwa macho na Masikio yetu ni kwamba, hata wale Chawa wanaoishi kwa kumsifu tu, tangu mauaji yale ya kishamba, Wameufyata, kule mitandoni wanakokesha kumtukuza hawapo tena! ( Hata nyinyi mnawajua )
Unajua hata ungekuwa na njaa kiasi gani, yako mambo mabaya ambayo mfadhili wako akifanya unajikuta Aibu inakupata tu, kuna ubinadamu ambao hata Chawa wanao, kwahiyo hata wewe kama unawalipa lakini ukiboronga wanarudi nyuma na kuona Aibu.
Ngoja tuone mpaka uchaguzi atabaki na % ngapi.
Hela ya Laana haitowafikisha popoteKuna chawa andazi mmoja humu na nduguye Tlaatlaah wapo bize kupangua tuhuma za Hangaya.
Jamaa wanalipwa vyema sana
Naamini ingekuwa ni Mzee wako ndio kauliwa dakika hii ungekuwa unashtumu mpaka sisimizi. Ila kwa vile hakuhusu basi unapayuka tu kama uharo wa kiporo kilicho chacha.Uporokwe ye kahusika wapi?Hii uhuni mnaweza kuwa mmefanya wenyewe kwenye hiyo saccos yenu.
Na km ni kwa chama twawala itajulikana ni muda tu